Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjasiriamali hupenda kujivunia kile alichokifanya

Mjasiriamali ni mtu wa kufanya kazi kwa tija. Hawezi kupoteza muda wake pasipo sababu za msingi na pia hapendi kupotezewa muda wake. Mjasiriamali ni mtu mwenye kuona mbali na hutayarisha mikakati yake yenye kuona mbali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MJASIRIAMALI : Mazingira yanawezaje kumuathiri mjasiriamali?

Katika moja ya makala zangu za nyuma niliwahi kuandika juu ya umuhimu wa kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Katika makala haya ninaangazia athari za kuwa na mazingira mabovu ya kufanyia biashara kwa wajasiriamali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chozi hupenda amani

CHOZI ni moja ya jamii za ndege wanaopatikana kwa wingi katika eneo la Afrika Mashariki. Chozi pamoja na ndege mwingine ajulikanaye kwa jina la  Kiingereza Spiderhunte, wanatengeneza familia ya Nectariniidae....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pomboo hupenda kucheza na binadamu

KAMA tulivyoahidiana wiki iliyopita, hii itakuwa ni sehemu ya mwisho katika awamu ya kwanza na simulizi kuhusiana na samaki mnyama pomboo. Pamoja na haya tutakayoyaeleza leo, bado kuna mambo mengine...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hayatou hupenda kufanya mambo kimyakimya

Issa Hayatou ni mtu ambaye hapendi kuangaziwa sana na vyombo vya habari. Hata hivyo anajulikana kwa kuwa na msimamo mkali.

 

11 years ago

Mwananchi

VYAKULA: Wengi hupenda nyama lakini wataalam wanatahadharisha

>Chakula ni dawa, lakini chaweza kuwa sumu pia. Watu wengi wana desturi ya kula ili kufurahi na tumbo lijae. Wakati huo huo ulaji unaweza kuwa chanzo cha matatizo yatakayoathiri mwili, ingawa usafi ulizingatiwa katika maandalizi hadi matumizi.

 

10 years ago

Michuzi

MIAKA 53 ZA MAFANIKIO YA KUJIVUNIA

Muhtasari Wa Miaka 53 Ya Mafanikio Ya Kujivunia by Evarist Chahali  MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE 2005/2006 HADI 2014/2015 (Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne kuanzia 2005/2006 hadi 2014/2015from Evarist Chahali

 

11 years ago

Mwananchi

Wanamichezo washindwa kujivunia

Wakati Taifa leo likiadhimisha miaka 52 ya Uhuru, baadhi ya wanamichezo hapa nchini wamedai Tanzania imeshindwa kuendeleza hadhi iliyokuwa nayo kwenye mashindano ya kimataifa hivyo hakuna cha kujivunia.

 

11 years ago

GPL

Alichokifanya Messi Mapinduzi ni zaidi ya hatari

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano. Na Abdi Suleiman, Zanzibar
HAKIKA wale waliokuwa wanasema kuwa yawezekana kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano alibahatisha kuwafanya ‘kitu mbaya’ mabeki wa Yanga, watakuwa wamekosea, kiungo huyo maarufu kwa jina la Messi, juzi alikuwa nyota wa mchezo na kuonyesha kiwango cha juu. Messi ambaye alifunga mabao yote katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chuoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani