Wanamichezo washindwa kujivunia
Wakati Taifa leo likiadhimisha miaka 52 ya Uhuru, baadhi ya wanamichezo hapa nchini wamedai Tanzania imeshindwa kuendeleza hadhi iliyokuwa nayo kwenye mashindano ya kimataifa hivyo hakuna cha kujivunia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi08 Oct
MIAKA 53 ZA MAFANIKIO YA KUJIVUNIA
11 years ago
MichuziMTWARA KUJIVUNIA HOSPITALI YA RUFAA
10 years ago
Mwananchi15 Dec
‘Ukimwi siyo mradi wa kujivunia fedha’
10 years ago
MichuziKAGERA KUJIVUNIA UWANJA WA NDEGE WA KISASA
Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kagera kujionea maendeleo ya Mradi wa Upanuzi wa Kiwanja hicho. Waliotangulia mbele ni Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (Kushoto), Meneja Mradi wa Upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Bukoba, Mhandisi Suleiman Athuman (Katikati) na Meneja wa kiwanja hicho, Bw. Julius Mulungwana (Kulia).
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Mjasiriamali hupenda kujivunia kile alichokifanya
10 years ago
Mtanzania12 May
Juma Nature kujivunia miaka 16 ya mafanikio yake
NA HADIA KHAMIS
MSANII mwenye jina kubwa katika muziki wa Bongo Fleva nchini, Juma Kassim Kiroboto ‘Juma Nature’, anatarajia kusherehekea miaka 16 ya mafanikio yake hivi karibuni.
Mafanikio hayo atayafurahia katika tamasha la Komaa Concert ambapo watashirikiana na kituo cha Redio cha EFM kinachosherehekea mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.
Mkurugenzi wa mawasiliano wa kituo hicho, Dennis Sebbo, alisema tamasha hilo litafanyika katika Manispaa ya Temeke ikiwa ni heshima ya msanii huyo kwa...
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Miaka 37 ya CCM; Nape: Tunayo mengi ya kujivunia
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-cXpDlUEhvCc/Xt25mz78HZI/AAAAAAALs9o/2wQOXMTUx3ID77l29xi3rql0sfB-JlKrACLcBGAsYHQ/s72-c/Picha-no-3-3-768x512.jpeg)
WATANZANIA WAHIMIZWA KUJIVUNIA VIVUTIO WALIVYO NAVYO
![](https://1.bp.blogspot.com/-cXpDlUEhvCc/Xt25mz78HZI/AAAAAAALs9o/2wQOXMTUx3ID77l29xi3rql0sfB-JlKrACLcBGAsYHQ/s640/Picha-no-3-3-768x512.jpeg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda (katikati) akisoma kibao kinachotoa maelezo kuhusu Michoro ya Miambani wakati alipotembelea kituo cha Michoro ya Miambani cha Kolo Kondoa, kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Malikale Bw. Revocatus Bugumba na kushoto kwake ni Bw. Zuberi Mabie ambaye ndiye Mkuu wa Kituo hicho.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PICHA-NO-1.jpeg)
katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda (kushoto) akizungumzia umuhimu wa kuhifadhi michoro inayopatikana katika eneo la...
10 years ago
VijimamboKada Mzalendo Loveness Mamuya na Mrejesho wa Kwanini Usiku wa Jakaya ni Kitu cha Kujivunia Daima
1. UTANGULIZIBinadamu hakuumbwa katika ombwe, ameumbwa akiwa katika dimbwi la majukumu, kwake binafsi, familia, jamii na dunia kwa ujumla. Wachache sana wanaoweza kupitia ngazi zote za uwajibikaji huu. Katika hao wachache, hatutasita kumtaja Jakaya Khalifan Mrisho Kikwete. Ili kujijenga vema katika misingi ya uongozi, Jakaya Kikwete alijijenga vema katika taasisi hizi za msingi na alipikwa...