Hekaheka CHADEMA
HARAKATI za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kujiimarisha kupitia operesheni mbalimbali wanazozifanya ikiwemo ya M4C Pamoja Daima zimeanza kuwatia hofu ya kung’oka madarakani wabunge na viongozi wa Chama Cha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
11 years ago
Habarileo16 Jan
Hekaheka uchaguzi mdogo Kiembesamaki zaanza
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeanza kutoa fomu kwa ajili ya wagombea wa uchaguzi mdogo wa jimbo la Kiembesamaki, utakaofanyika Februari 2, mwaka huu.
10 years ago
Habarileo12 Dec
Hekaheka za kimila zayumbisha ibada ya maziko
KATIKA hali ambayo haikutarajiwa, wachungaji wawili wa Kanisa la Assemblies of God katika kijiji cha Borenga Kata ya Kisaka wilayani hapa, nusura wasuse kushiriki kuendesha ibada ya kumzika Saghi Maghambo (19) ambaye alifariki kwa maradhi.
10 years ago
Habarileo29 Aug
Akaunti ya pamoja Bara, Z'bar hekaheka
MWENYEKITI wa Kamati Namba Moja, Ummy Mwalimu, amesema pamoja na Kamati yake kupitisha sura zote kwa kupata theluthi mbili kila upande, suala la akaunti ya pamoja kwa Tanzania Bara na Zanzibar, hawakufanya uamuzi na lilikuwa na hekaheka kubwa.
10 years ago
Mwananchi30 May
Hekaheka kwa Lowassa, Wasira kuwa ‘live’ kesho
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Hekaheka ya wanawake wa VICOBA walivyovamia wakachukue vyao wanakodai !! (+Audio)
Hekaheka inagusa story za mtaani, visa kwenye kona na mitaa mbalimbali ya Dar na kwingineko… ya leo inahusu ishu ya VICOBA, dada mmoja kakopeshwa pesa za VICOBA na hajarudisha zaidi ya miaka mitatu !! Kwa sababu wanawake hao wanakuwa na vikundi hivi, ilibidi wajikusanye wamfate mwanamke huyo ili wakanyang’anye vitu kufidia deni lao… baada ya […]
The post Hekaheka ya wanawake wa VICOBA walivyovamia wakachukue vyao wanakodai !! (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Mwendelezo wa Hekaheka ya mama aliyetelekezwa na mume baada ya kujifungua.. (+Audio)
Hii stori ya ‘Hekaheka‘ ilianza kusikika jana December 22 2015 ambapo mwanamke alikuwa na malalamiko ya kukimbiwa na mpenzi wake baada ya kujifungua Dar es Salaam.. kibaya zaidi ni kwamba mwanamke huyo hakuwa anafahamiana na ndugu yoyote wa mwanaume huyo. Kikubwa kwa sasa mwanamke huyo aliongea kwamba anahitaji msaada wa vitu vingi ikiwemo makazi ya […]
The post Mwendelezo wa Hekaheka ya mama aliyetelekezwa na mume baada ya kujifungua.. (+Audio) appeared first on...
10 years ago
Mwananchi09 Aug
GEA HABIB : Mwanzilishi wa ‘Hekaheka’ anayekerwa na ukatili dhidi ya watoto
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Ishu ya DNA ya baba na mtoto ilivyoleta Hekaheka Dar… (+Audio)
Kama umekuwa mfatiliaji wa stori za Magazetini wiki iliyopita kulikuwa na stori kubwa ambayo ilitawala sana kuhusu ishu ya ripoti za vipimo vya DNA kuwa kati ya walioenda kupima DNA imeonesha 49% ya watoto wanalelewa na baba ambao sio baba wazazi. Baba wa mtoto huyo amesimulia kwamba hakupendezwa na kitendo cha dada mmoja anayeuza duka la […]
The post Ishu ya DNA ya baba na mtoto ilivyoleta Hekaheka Dar… (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.