Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Helikopta za Polisi zaibua mapya

>Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imesema kukosekana helikopta (Chopa) ya Jeshi la Polisi Zanzibar siyo kuidhalilisha Zanzibar katika mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar bali ni utaratibu wa kiutendaji kwa vyombo hivyo  vya ulinzi na usalama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Posho za Bunge zaibua mapya

Siku chache baada ya Bunge la Maalumu la Katiba kumaliza muda wake, matumizi ya fedha zilizobaki kwenye Bunge hilo yameibua mvutano baada ya kuwapo taarifa kuwa fedha hizo ziliisha, huku Wizara ya Fedha ikieleza kuwa bado zipo.

 

10 years ago

Mwananchi

Tuhuma za washukiwa ugaidi zaibua mapya

Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), kimeitaka Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Wanasheria Zanzibar wataka tume huru ichunguze madai ya kukiukwa sheria.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi kufanya doria kwa helikopta Mwaka Mpya

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaPOLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam imetangaza leo kufanya doria kwa kutumia helikopta ili kuangalia hali ya usalama katika jiji hilo katika sikukuu ya Mwaka Mpya.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mazishi ya Mrakibu wa Polisi Capt.Kidai Senzala aliyefariki katika ajali ya Helikopta Dar

 Maafisa wa Polisi wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Capt. Kidai Senzala Kalise aliyefariki Novemba 29 mwaka huu katika ajali ya Helkopta iliyotokea Kipunguni B-Moshi Bar Dar es Salaam wakielekea katika makaburi ya familia huko Gonja Maore Wilaya ya Same mkoa wa Kilimanjaro Desemba 1, 2014.

Marehemu Kidai alikuwa Mrakibu wa Polisi na alizikwa kwa heshima zote za Kipolisi ikiwa ni kupigiwa mizinga na saluti mbalimbali za kipolisi kabla na baada ya maziko yake.

Helkopta...

 

9 years ago

Global Publishers

Polisi kuuana Mwanza, mapya yaibuka

Kuaga (1)
Na Mwandishi Wetu, UWAZI
MWANZA: Bado Jiji la Mwanza limegubikwa na sintofahamu ya Polisi PC Daudi Elisha mwenye namba H 852 kumuua kwa kumpiga risasi askari mwenzake, PC Petro Matiko mwenye namba H 5990 kisha naye kujiua, mapya yameibuka.

Tukio hilo lililoitingisha Mwanza lilijiri saa 8 mchana wa Desemba 23, mwaka huu nje ya Benki ya Posta Tawi la Pamba.

Akizungumza na gazeti hili, kijana mmoja ambaye anadai alikuwa na ukaribu na PC Elisha, huku akiomba hifadhi ya jina lake, alisema...

 

10 years ago

Habarileo

Mauaji Stakishari yaibua mapya Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Ernest Mangu, akitoa tamko juu ya tukio la Stakishari la kuuawa kwa polisi na raia kulikofanywa na majambazi.JESHI la Polisi nchini jana liliwaaga kwa heshima zote za kijeshi askari wake wawili kati ya wanne waliouawa wakiwa katika kituo cha kazi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, huku likiahidi kufanya mapinduzi kadhaa ya kiutendaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi 2015, Polisi kununua magari 700 mapya

>Serikali inatarajia kununua magari mapya 700 kwa ajili ya Jeshi la Polisi ambayo yatatumika kwenye shughuli mbalimbali ukiwamo uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani.

 

9 years ago

Michuzi

JK leo akabidhi jeshi la polisi magari 399 mapya kati ya 777 yaliyoagizwa

Na Sultani Kipingo
RAIS  Jakaya Mrisho Kikwete leo amekabidhi magari 399 mapya kwa ajili ya kufanyia kazi kwa Jeshi la Polisi Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo Cha Mafunzo ya Polisi kilichopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es  Salaam. 
Makabidhiano hayo yalifanyika mbele ya  Waziri wa Mambo ya ndani  Mhe Mathias Chikawe Inspekta  Jenerali wa Polisi  IGP Ernest Mangu na maofisa mbalimbali wa jeshi hilo.IGP Mangu Alisema magari hayo 20 ni ya kutema maji ya kuwasha  na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete alikabidhi Jeshi la Polisi magari mapya 399 kati ya 777 yaliyoagizwa

p2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe, IGP Ernest Mangu wakati akikagua sehemu ya magari mapya 399 kati ya 777 aliyokabidhi kwa jeshi la polisi leo Jumanne Oktoba 20, 2015 huko katika Chuo cha Polisi Kurasini Dar es salaam. (PICHA NA IKULU).

p3

p1

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani