Tuhuma za washukiwa ugaidi zaibua mapya
Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), kimeitaka Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Wanasheria Zanzibar wataka tume huru ichunguze madai ya kukiukwa sheria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Oct
Posho za Bunge zaibua mapya
Siku chache baada ya Bunge la Maalumu la Katiba kumaliza muda wake, matumizi ya fedha zilizobaki kwenye Bunge hilo yameibua mvutano baada ya kuwapo taarifa kuwa fedha hizo ziliisha, huku Wizara ya Fedha ikieleza kuwa bado zipo.
11 years ago
Mwananchi25 Oct
Helikopta za Polisi zaibua mapya
>Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imesema kukosekana helikopta (Chopa) ya Jeshi la Polisi Zanzibar siyo kuidhalilisha Zanzibar katika mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar bali ni utaratibu wa kiutendaji kwa vyombo hivyo vya ulinzi na usalama.
10 years ago
BBCSwahili01 Sep
Washukiwa 38 wa ugaidi wakamatwa TZ
Polisi nchini Tanzania wanasema wamewakamata washukiwa 38 wa ugaidi na kunasa shehena ya silaha baada ya operesheni kali
10 years ago
BBCSwahili18 Apr
Washukiwa wa ugaidi wakamatwa Australia
Polisi nchini Australia wamewakamata wanaume watano kufuatia oparesheni ya kupambana na ugaidi kwenye mji wa Melbourne.
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Washukiwa wa ugaidi wakamatwa Italia
Polisi nchini Italia wanasema kuwa wamewakamata watu 18 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Islamic State
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Washukiwa wa ugaidi wakamatwa Ulaya
Polisi katika nchi kadhaa barani Ulaya wamewakamata washukiwa kadhaa wenye itikadi kali za kidini katika misako iliyofanywa usiku kucha.
10 years ago
BBCSwahili26 Aug
Watanzania washukiwa ugaidi Kenya
Polisi nchini Tanzania inafanya mpango wa kuwasilliana na wenzao wa Kenya ili kujua hatima ya Watanzania waliokamatwa nchini humo.
10 years ago
Habarileo28 Jun
Washukiwa ugaidi wanaswa Morogoro
POLISI mkoani Morogoro kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imekamata washukiwa wa ugaidi waliokuwa na mifuko mikubwa iliyokuwa na majambia na bunduki kadhaa aina ya Shot gun.
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Polisi wasaka washukiwa wanne wa ugaidi Kenya
Maafisa wa usalama nchini Kenya wanawasaka washukiwa wanne wa ugaidi ambao wanadaiwa kukwepa msako wa polisi katika nyumba moja Mombasa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania