Washukiwa ugaidi wanaswa Morogoro
POLISI mkoani Morogoro kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imekamata washukiwa wa ugaidi waliokuwa na mifuko mikubwa iliyokuwa na majambia na bunduki kadhaa aina ya Shot gun.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili01 Sep
Washukiwa 38 wa ugaidi wakamatwa TZ
Polisi nchini Tanzania wanasema wamewakamata washukiwa 38 wa ugaidi na kunasa shehena ya silaha baada ya operesheni kali
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Washukiwa wa ugaidi wakamatwa Italia
Polisi nchini Italia wanasema kuwa wamewakamata watu 18 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Islamic State
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Washukiwa wa ugaidi wakamatwa Ulaya
Polisi katika nchi kadhaa barani Ulaya wamewakamata washukiwa kadhaa wenye itikadi kali za kidini katika misako iliyofanywa usiku kucha.
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Watanzania washukiwa ugaidi Kenya
Polisi nchini Tanzania inafanya mpango wa kuwasilliana na wenzao wa Kenya ili kujua hatima ya Watanzania waliokamatwa nchini humo.
10 years ago
BBCSwahili18 Apr
Washukiwa wa ugaidi wakamatwa Australia
Polisi nchini Australia wamewakamata wanaume watano kufuatia oparesheni ya kupambana na ugaidi kwenye mji wa Melbourne.
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Tuhuma za washukiwa ugaidi zaibua mapya
Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), kimeitaka Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya
Wanasheria Zanzibar wataka tume huru ichunguze madai ya kukiukwa sheria.
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Polisi wasaka washukiwa wanne wa ugaidi Kenya
Maafisa wa usalama nchini Kenya wanawasaka washukiwa wanne wa ugaidi ambao wanadaiwa kukwepa msako wa polisi katika nyumba moja Mombasa.
10 years ago
Mwananchi03 May
Ugaidi watikisa tena Morogoro
>Tishio la ugaidi limezidi kuwa tete baada ya watu wanaoshukiwa kufanya vitendo hivyo kulipua bomu na kusababisha watu watano kujeruhiwa wakati wakitoka kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi katika Kijiji cha Msolwa Ujamaa, kilichoko Kata ya Sanje wilayani Kilombero.
10 years ago
GPLMAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI
Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani, Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania