Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Hello’ ya Adele yawa video ya pili kuwahi kufikisha views milioni 100 ndani ya siku 5

Adele helloMwimbaji wa uingereza Adele anaendelea kuweka rekodi kupitia wimbo wake mpya ‘Hello’. Katika siku 5 tu za mwanzo toka video ya ‘Hello’ itoke, ilifanikiwa kutazamwa zaidi ya mara milioni 100, rekodi ambayo wanamuziki wengine huifikia baada ya miezi mingi baada ya kutoa video zao. Kwa rekodi hiyo, ‘Hello’ inakuwa ni video ya pili kuwahi kufikisha […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Sugua Gaga ya Shaa yawa video ya muziki ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufikisha views milioni 20 kwenye Youtube

Video ya wimbo wa Shaa, Sugua Gaga imekuwa video ya kwanza ya mwanamuziki kutoka Afrika Mashariki kufikisha views zaidi ya milioni 20 kwenye mtandao wa Youtube. Video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma iliwekwa kwenye mtandao huo March 24, 2014. Hadi Jumanne hii, video hiyo ilikuwa imetazamwa mara 20,311,199. Video ya pili iliyotazamwa zaidi ni ya […]

 

10 years ago

Bongo5

Video ya ‘Nana’ ya Diamond f/Flavour yavuka views milioni 1 ndani ya siku 12!

Diamond Platnumz anazidi kuthibitisha nguvu aliyonayo. Ni siku 12 tu tangu aachie video ya wimbo wake ‘Nana’ aliomshirikisha Flavour, lakini tayari imepata views zaidi ya milioni kwenye Youtube. Hadi Jumatano hii, Nana imefikisha views 1,013,350 (views zinaongezeka kwa kasi). “One million Plus Views on Youtube! In just 10 days…kwakweli nawashkuru sana kwa Mapenzi yenu emoji.. […]

 

9 years ago

Bongo5

Adele avunja rekodi ya Youtube kwa wimbo wake mpya ‘Hello’ kupata views milioni 25 siku ya kwanza

Adele, Mwimbaji kutoka Uingereza amerudi kwa kishindo baada ya kuweka rekodi mpya ya Youtube kupitia wimbo wake mpya ‘Hello’ uliotoka Ijumaa Oct.23. Ndani ya saa 24 toka video ya wimbo huo iwekwe kwenye mtandao wa Youtube imetazamwa mara milioni 25, na kuvunja rekodi iliyowekwa na Taylor Swift na Kendrick Lamar ambao collabo yao ‘Bad Blood’ […]

 

10 years ago

Bongo5

P-Square waweka rekodi ya kuwa wasanii wa kwanza wa Afrika kufikisha views milioni 30 Youtube kupitia video ya ‘Personally’

Video ya hit single ya ‘Personally’ imelifanya kundi la mapacha wa Nigeria, P-Square kuweka rekodi ya kuwa wasanii wa kwanza wa Afrika kufikisha views milioni 30 kwenye mtandao wa Youtube. Video hiyo ambayo iliongozwa na kaka yao Jude Engees Okoye na director mkubwa wa Nigeria, Clarence Peters ilipandishwa Youtube June, 2013. Mpaka sasa imefikisha views […]

 

9 years ago

Bongo5

25 ya Adele yauza nakala milioni 1.11 kwenye wiki ya pili

Adele-2015-press-Alasdair-McLellan-XL-billboard-650-2

Album mpya ya Adele, 25 imeuza nakala milioni 1.11 katika wiki ya pili iliyomalizika Dec. 3 nchini Marekani.

Adele-2015-press-Alasdair-McLellan-XL-billboard-650-2

Katika wiki yake ya pili tayari album hiyo imeuza nakala milioni 4.49.

Awali 25 ilivunja rekodi kwa kuuza nakala milioni 3.38 katika wiki yake ya kwanza.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Wema Sepetu awa Mtanzania wa pili kufikisha followers milioni 1 kwenye Instagram

11385131_915960011829242_1002926144_n

Wema Sepetu amekuwa mtanzania wa pili kufikisha followers milioni moja kwenye mtandao wa Instagram.

11385131_915960011829242_1002926144_n

Mrembo huyo anachukua nafasi hiyo baada ya ex wake, Diamond Platnumz kufikisha idadi hiyo wiki kadhaa zilizopita. Hata hivyo tofauti yao ni kuwa account ya Diamond iko verified.

Hatua hiyo imekuja siku mbili tu baada ya Wema kuangusha birthday party iliyohudhuriwa na mastaa wote wa orodha A nchini. Pia alizindua brand zake za vipodozi zikiwemo lipstick za Kiss by Wema Sepetu.

Mastaa wengine...

 

9 years ago

Bongo5

Rekodi mpya ya Youtube yafikiwa, huyu ni mtu wa kwanza kufikisha views bilioni 10 za video zake!

PewDiePie kwa wale ambao hawamfahamu ndio mtu mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Youtube. Hadi sasa PewDiePie ana zaidi ya subscribers milioni 39. Weekend hii mtu huyo alifikisha views bilioni 10 za video zake zote kwa pamoja, kitu ambacho kimevunja rekodi ya mtandao wa Youtube kwakuwa imevuka kaunta yake (kikomo cha views). Hii si […]

 

11 years ago

Bongo5

Shakira avunja rekodi kwa kuwa mtu wa kwanza kufikisha ‘likes’ milioni 100 Facebook

Muimbaji Shakira wa Colombia ameweka rekodi mpya kwa kuwa mtu wa kwanza kufikisha likes milioni 100 kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook. Mwezi March mwimbaji huyo wa ‘Can’t remember to forget you’ alitajwa kuwa ‘most-liked musician on Facebook’ kwa kumzidi kidogo Rihanna. Wakati huo alikuwa na likes milioni 86.3. Kusheherekea mafanikio hayo Shakira amepost video […]

 

9 years ago

Bongo5

P-Square wavunja rekodi tena kwa video yao ‘Personally’ kuwa ya kwanza Afrika kufikisha views M50 Youtube

Kundi la P-Square kutoka Nigeria linaendelea kuvunja rekodi waliyoiweka wenyewe kupitia video ya hit single yao ‘Personally’. Rekodi mpya ilivyowekwa na Peter na Paul Okoye wa P-Square, wamekuwa wasanii wa kwanza kutoka Afrika kufikisha views milioni 50 kwenye mtandao wa Youtube kupitia video ya ‘Personally’, . November 2014, P-Square waliweka rekodi kwa mara ya kwanza […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani