Higuain, the Valdano to Messi’s Maradona?
With a single swish of the right boot in his side’s World Cup quarter-final against Belgium, Gonzalo Higuain finally showed there may be more to Argentina than Lionel Messi after all.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo15 Dec
First 11 ya muda wote katika historia ya soka, Maradona na C. Ronaldo wameachwa, Messi na Pele ndani …
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hii mtu wangu, first eleven ya wachezaji bora wa muda wote katika historia ya soka. Yaani nimekutana na list ya wachezaji 11 ambao wamepata nafasi ya kuunda kikosi bora cha muda wote. Hii ni kwa mujibu wa muandishi wa mtandao wa sokka.com Edward Aiko Bua mtu wangu. 1- Ni golikipa […]
The post First 11 ya muda wote katika historia ya soka, Maradona na C. Ronaldo wameachwa, Messi na Pele ndani … appeared first on...
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
Maradona amtuhumu mkewe kumuibia fedha
9 years ago
Mtanzania12 Nov
Higuain kumwondoa Diego Costa Chelsea
LONDON, ENGLAND
KLABU ya Chelsea imeanza kumfukuzia mshambuliaji wa Napoli, Gonzalo Higuain ambaye anaweza kuchukua
nafasi ya Diego Costa wakati wa dirisha dogo la usajili Januari mwakani.
Klabu hiyo imefanya maamuzi hayo baada ya kuona kwamba mchezaji wao huyo amekuwa na matukio mbalimbali ambayo hayaisaidia timu hiyo.
Kutokana na hali hiyo Costa ametakiwa kubadilika ili kuweza kuisaidia timu hiyo ambayo kwa sasa imekuwa na wakati mgumu katika michuano ya Ligi Kuu nchini England.
Hata...
11 years ago
Mwananchi23 Jun
BRAZIL 2014: Maradona awajia juu Fifa
5 years ago
BBCSwahili25 May
Tetesi za Soka Ulay aJumatatu 25.5.2020: Coutinho, Aubameyang, Higuain, Jimenez, Dembele
5 years ago
BBCSwahili19 May
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 19.05.2020: Havertz, Higuain ,Martinez, Koulibaly, Silva, Lazaro