HII NDIO BARABARA ILIYOKARABATIWA KWA MILIONI 90 UKONGA MAZIZINI- MOSHI BAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-cjPGxrGqWGc/VF4KGHtEqoI/AAAAAAAAYjo/NT2AFB_briI/s72-c/2014-11-08%2B12.32.14.jpg)
Hii ndio ile barabara ya Ukonga Mazizini- Moshi Bar ambayo inadaiwa kugharimu kiasi cha shilingi Milioni 90 kuikarabati kwa kiwango cha changarawe kwa umbali wa kilometa tatu. Picha hizi ni madimbwi ya mwanzo tu ya hizo kilometa tatu.(Picha na Father Kidevu Blog).
Meya Jerry Silaa wa Ilala ambaye ni Diwani wa Gongo la Mboto alipotembelea aliwaambia wananchi kuwa fedha za ujenzi huo ni kutoka mfuko wao ni . PICHA ZA CHINI NI SIKU MEYA SILAA ALIPOTEMBELEA UJENZI WAKE.
Mstahiki Meya wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-wuJELjQDhUk/VFh9Y-A8bjI/AAAAAAAAYgc/69O-jRXqVp0/s72-c/Mroki-Mporojost.jpg)
MEYA WA ILALA FANYA UKAGUZI WA UJENZI WA BARABNARA HII YA UKONGA MAZIZINI - MOSHI BAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-wuJELjQDhUk/VFh9Y-A8bjI/AAAAAAAAYgc/69O-jRXqVp0/s1600/Mroki-Mporojost.jpg)
LEO katika Porojo za ANKO KIDEVU anafunguka kuhusina na ujenzi wa barabara ya Ukonga Mazizini - Moshi Bar yenye urefu wa Kilometa 3 ambayo ulielezwa kugharimu shilingi milioni 90. Kusoma zaidi BOFYA >>>> FATHER KIDEVU BLOG
11 years ago
MichuziMEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA KUELEKEA MAZIZINI MPAKA MOSHI BAR
11 years ago
GPLMEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA KUELEKEA MAZIZINI MPAKA MOSHI BAR
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-5WED1YkrjFU/UzUsfPcqo-I/AAAAAAAASsM/YzpmuOLJpes/s72-c/1a.jpg)
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-i-SYeenlO3Y/VmeITSy3biI/AAAAAAAAXYU/MgRAjhqnvv0/s72-c/FB_IMG_1449624581069.jpg)
MBUNGE WA CHADEMA JIMBO LA UKONGA MH. MWITA WAITARA AFANYA UKARABATI WA BARABARA JIMBONI UKONGA
10 years ago
Michuzi28 Apr
WANAFUNZI WA CHUO CHA UALIMU PATANDI WAZUIA BARABARA YA ARUSHA MOSHI KWA SAA MBILI
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/sabas-may10-2013%282%29%281%29.jpg)
kamanda wa polisi mkoa wa ArushaHali ya Sintofahamu imeukumba mji wa Tengeru leo Asubuhi baada ya wanafunzi wa chuo cha ualimu Patandi Kufunga barabara kwa muda wa masaa mawili na kuacha shughuli za maendeleo kusimama kwa muda huku magari ya abiria yanayokwenda katika mikoa ya Kilimanjaro,Tanga na Dar es salaam na mji mdogo wa usa river na maeneo mengine kupata adha hiyo.
Wanafunzi hao walizuia bara bara hiyo wakishinikiza madai yao kusikiliza kwani wameshatoa malalamiko yao kwa uongozi...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-nYzAIgZt6Cg/Ve7i39VmBpI/AAAAAAAAJLo/0ypyDG4PucU/s72-c/nape.jpg)
HII NDIO BARUA YA NAPE NNAUYE KWA WATANZANIA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-nYzAIgZt6Cg/Ve7i39VmBpI/AAAAAAAAJLo/0ypyDG4PucU/s640/nape.jpg)
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha tarehe 6/09/2015 siku ya Jumapili mjini Tabora mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema Ndg. Edward Lowassa aliamua kutumia udini kuomba kura.Ndg. Lowassa akihudhuria ibada katika kanisa la Kilutheri (KKKT) mjini Tabora amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii akidai kuwa, kwa kuwa toka nchi ipate uhuru hajawahi kutokea Rais kutoka dhehebu la Kilutheri hivyo mwaka huu ni zamu ya Walutheri.Chama...