HII NDIO MAANA HALISI YA "SISI NI TANZANIA MPYA"
![](https://1.bp.blogspot.com/-IYNVEV2uFEc/XkmP_5n8JcI/AAAAAAALdpA/MxWior1ipc48Of3YJVUFwQfmBIce67YiQCLcBGAsYHQ/s72-c/8c8988d3-f21d-49b4-a7de-16e42f87d4de.jpg)
1. Tanzania Leo hii ni nchi ya 7 kwa uwekezaji Afrika.
2. Tanzania ya Leo imepanda kwa nafasi 13 katika Mwaka 2016 na Mwaka 2017 na pia ikishika nafasi ya pili kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi.
3. Tanzania ya Leo uchumi umekuwa hadi kufikia asilimia 7.2 toka asilimia 5.1 ya hapo awali.
4. Tanzania ya Leo Elimu kuanzia ya Msingi hadi ya Sekondari ni bure. Hapa adui ujinga anapigwa Vita kwa vitendo.
5. Tanzania ya Leo ina miliki ndege zake takribani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo30 Nov
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PGM0658IBWM/U54k0YE5qXI/AAAAAAAFq7k/8fNzm4OujlM/s72-c/77589580.jpg)
JE WAJUA MAANA HALISI YA NENO BRAZUCA?
![](http://4.bp.blogspot.com/-PGM0658IBWM/U54k0YE5qXI/AAAAAAAFq7k/8fNzm4OujlM/s1600/77589580.jpg)
Na Sultani Kipingo
"BRAZUCA"
ni neno jipya lililo midomoni pa wengi ulimwenguni hivi sasa, japo si watu wote wanaojua maana yake. Subiri nikupashe. "Brazuca" si kitu kingine bali ni jina la mpira unaotumika katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea chini Brazil hivi sasa.Neno hilo lina maana mbili. Ya kwanza ni neno la nchi hiyo kwa wa-Brazil wanaoishi nje ya nchi – yaani Diaspora. Maana ingine, neno hilo lina maana ya kujivunia, kuufurahia na kutambia u-Brazil kwa watu wa...
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Hii ndio list mpya ya wanasoka kumi wa Afrika matajiri 2015 ….
Headlines za mishahara yao mikubwa wanayolipwa katika soka najua umeshaizoea kwa sasa mtu wangu, katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na list mpya ya wanasoka matajiri barani Afrika, katika list hii hakuna sura ngeni sana bado watu wameendelea kumiliki utajiri wao kama kawaida. List hii inaoongozwa na Samuel Eto’o jamaa ambaye amewahi kutwaa tuzo ya […]
The post Hii ndio list mpya ya wanasoka kumi wa Afrika matajiri 2015 …. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo530 Nov
Hii ndio orodha kamili ya nyimbo za album mpya ya Chris Brown ‘Royalty’
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/breezy-royalty-300x194.jpg)
Album mpya ya Chris Brown inatarajiwa kutoka tarehe 18 December na tayari watu wameanza kuweka pre-oder toka Ijumaa iliyopita.
Wakati watu wakisubiri kupata nakala zao za album hiyo pindi itakapotoka, kwa sasa Breezy ametoa orodha ya nyimbo 14 zitakazokuwemo kwenye album hiyo pamoja 4 za ‘delux bonus tracks’.
Hii ndio orodha kamili
1. “Back to Sleep”
2. “Fine by Me”
3. “Wrist” (Feat. Solo Lucci)
4. “Make Love”
5. “Liquor”
6. “Zero”
7. “Anyway”
8. “Picture Me Rollin’ ”
9. “Who’s Gonna...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-wQBo6DQkfVg/VPcSdzH5RRI/AAAAAAAAuEk/Cbz_SUiqFII/s72-c/Nasib.jpg)
HII NDIO VIDEO MPYA KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ AFANYA NA HANSCANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-wQBo6DQkfVg/VPcSdzH5RRI/AAAAAAAAuEk/Cbz_SUiqFII/s640/Nasib.jpg)