Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JE WAJUA MAANA HALISI YA NENO BRAZUCA?

 Na Sultani Kipingo

"BRAZUCA" 

ni neno jipya lililo midomoni pa wengi ulimwenguni hivi sasa, japo si watu wote wanaojua maana yake. Subiri nikupashe. "Brazuca" si kitu kingine bali ni  jina la mpira  unaotumika katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea chini Brazil hivi sasa. 

Neno hilo lina maana mbili. Ya kwanza ni neno la nchi hiyo kwa wa-Brazil wanaoishi nje ya nchi – yaani Diaspora. Maana ingine, neno hilo lina maana ya kujivunia, kuufurahia na kutambia u-Brazil kwa watu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

HII NDIO MAANA HALISI YA "SISI NI TANZANIA MPYA"


1. Tanzania Leo hii ni nchi ya 7 kwa uwekezaji Afrika.

2. Tanzania ya Leo imepanda kwa nafasi 13 katika Mwaka 2016 na Mwaka 2017  na pia ikishika nafasi ya pili kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi.

3. Tanzania ya Leo uchumi umekuwa hadi kufikia asilimia 7.2 toka asilimia 5.1 ya hapo awali.

4. Tanzania ya Leo Elimu kuanzia ya Msingi hadi ya Sekondari ni bure. Hapa adui ujinga anapigwa Vita kwa vitendo.

5. Tanzania ya Leo ina miliki ndege zake takribani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baada ya Brazuca, macho ni usajili Ulaya

FAINALI za Kombe la Dunia zimefikia tamati jana usiku katika Uga wa Maracana Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil na mshindi wa fainali hizo kupatikana kila mtu akisema lake kutokana...

 

5 years ago

CCM Blog

KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)

KWA NINI  HIJA MOJA HALISI IKO KIGOMA?
Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

FARYD MONDRAGON: ‘Babu’ anayekwenda Brazil kuzuia mashuti BRAZUCA

SOKA limeweza kushuhudia wachezaji waliokuwa wakicheza na umri wao ukiwa zaidi ya miaka 40 kama Van de Sar, Oliver Khan, Buffon na kinachofurahisha zaidi wengi wao ni makipa. Katika fainali...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Mwananchi

Maisha halisi ya Jaydee - 4

 Kwa wiki nzima mfululizo, lejendi huyu ameweza kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu muziki wake, kolabo za ndani na nje ya nchi, maisha yake halisi, bendi anayomiliki, vitu anavyovipenda na mambo yake asiyopenda kujishughulisha nayo.

 

10 years ago

Michuzi

JE WAJUA ASILI YA SALUTI YA ASKARI?

Na Sultani Kipingo Baada ya siku kadhaa za kupekua kila mahali kwenye vitabu vya historia, nimekuta hakuna ajuaye has asili ya saluti. Ila nimekuta maelezo kwamba katika historia ya askari, mkono wa kuume (ama mkomo wa silaha) ulikuwa ukiinuliwa kama ishara ya salamu za kirafiki. Wanahistoria wanasema huenda hiyo ilikuwa ni ishara ya kuonesha kwamba hauko tayari kutumia silaha na kushambulia. Ila toka enzi hizo, ni askari asiye na cheo ama mwenye cheo kidogo ndiye alikuwa analazimika kutoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani