Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je wajua?

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Ykileo

JE WAJUA? : KESHO YA UHALIFU MTANDAO

Swala la uhalifu mtandao limezidi kutengeneza vichwa vya habari kila kukicha pakizingatiwa ukuwaji wa mbinu mpya za wahalifu mtandao zinazo wawezesha kufikia malengo ya kuleta athari kimtandao hivi leo. Wakati huo huo vita ya uhalifu mtanda imeendelea kwa kasi katika maeneo mbali mbali duniani.


Mijadala, maazimio mbali mbali pamoja na kupitishwa maamuzi yakua mwaka huu wa 2014 kua mwaka wa vitendo kukabiliana na uhalifu vimeenda sambamba na ukuwaji wa kasi wa uhalifu mtandao hivi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Je wajua siri ya Mamba usingizini?

Wataalamu wa masuala ya wanyama wamegundua kwamba, mamba ana uwezo wa kulala huku jicho lake moja likiwa wazi.

 

9 years ago

Mwananchi

MAISHA: Je, wajua utapataje mafanikio?

Ili kufanikikiwa katika maisha vipo vitu au hatua ambazo huwa zinatulazimu kuzijua na kuzipitia kama kweli tunamaanisha na tunayadhamiria hayo.

 

10 years ago

Michuzi

JE WAJUA ASILI YA SALUTI YA ASKARI?

Na Sultani Kipingo Baada ya siku kadhaa za kupekua kila mahali kwenye vitabu vya historia, nimekuta hakuna ajuaye has asili ya saluti. Ila nimekuta maelezo kwamba katika historia ya askari, mkono wa kuume (ama mkomo wa silaha) ulikuwa ukiinuliwa kama ishara ya salamu za kirafiki. Wanahistoria wanasema huenda hiyo ilikuwa ni ishara ya kuonesha kwamba hauko tayari kutumia silaha na kushambulia. Ila toka enzi hizo, ni askari asiye na cheo ama mwenye cheo kidogo ndiye alikuwa analazimika kutoa...

 

10 years ago

Michuzi

je wajua asili ya jina Afrika?

Na Sultani Kipingo

Inasemekana kila jina lina asili yake na maana pia. Hata hilo jina lako ulipewa kwa sababu, na lina asili yake. Kama si la kutoka katika Biblia ama Quran, basi ni la kimila lenye kumaanisha jambo, kama vile siku, tukio, mahali ama hata shida au raha aliyopata mama wakati wa uzazi wako.

Jiji la Dar es salaam  zamani liliitwa Mzizima. Sultani Seyyid Majid wa Zanzibar ndiye aliyelipa jiji hili jina "Dar es Salaam" linalotokana na lugha ya Kiarabu  (Dār as-Salām) lenye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,wajua kuna waombolezaji wa kulipwa ?

Shughuli katika mji wa Kisumu,huvurugika kwa sababu mamia ya waendesha pikipiki huzuia barabara kutokana na kukodiwa kuomboleza.

 

11 years ago

Michuzi

JE wajua asili ya jina paparazzi?

  
Na Sultani Kipingo

Mnamo mwaka 1960 wapiga picha wa kujitegemea huko Italy walijipatia umaarufu mkubwa kutokana na filamu moja iliyokuwa mashuhuri duniani iliyoenda kwa jina la La Dolce Vita (“Maisha Matamu” kwa Kitaliani)  iliyotengenezwa na Producer Federico Fellini wa huko huko Italy.


Hadhithi ya filamu hiyo ya La Dolce Vita inamhusu mwanahabari mchunguzi aliyeitwa Marcello (muigizaji akiwa Marcello Mastroianni) na mpiga picha wake aliyeitwa Paparazzo (muigizaji Walter Santesso). Ingawa...

 

5 years ago

Michuzi

JE.WAJUA FAIDA ZA MICHE YA MCHIKICHI.


KIGOMA MA MAFUTA YA MAWESE;

Mafuta ya mawese ama palm oil yana faida nyingi tu kwa ajili ya ngozi yako Yanalainisha ngozi na kuiacha ikiwa na unyevu unyevu

Siku hizi sabuni, shampoo na mafuta mengi yanayotengenezwa viwandani yanakua yanatumiwa mafuta ya mawese kama malighafi ya kutengenezea. Hii ni kwa sababu ya ubora wake na suluhisho katika maswala yanayohusu ngozi.

Yana virutubisho vinavyoweza kuponesha ngozi iliyochomwa na jua na yenye michirizi Kama ilivyo kwa mafuta mengine halisi mafuta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani