Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


je wajua asili ya jina Afrika?

Na Sultani Kipingo

Inasemekana kila jina lina asili yake na maana pia. Hata hilo jina lako ulipewa kwa sababu, na lina asili yake. Kama si la kutoka katika Biblia ama Quran, basi ni la kimila lenye kumaanisha jambo, kama vile siku, tukio, mahali ama hata shida au raha aliyopata mama wakati wa uzazi wako.

Jiji la Dar es salaam  zamani liliitwa Mzizima. Sultani Seyyid Majid wa Zanzibar ndiye aliyelipa jiji hili jina "Dar es Salaam" linalotokana na lugha ya Kiarabu  (Dār as-Salām) lenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JE wajua asili ya jina paparazzi?

  
Na Sultani Kipingo

Mnamo mwaka 1960 wapiga picha wa kujitegemea huko Italy walijipatia umaarufu mkubwa kutokana na filamu moja iliyokuwa mashuhuri duniani iliyoenda kwa jina la La Dolce Vita (“Maisha Matamu” kwa Kitaliani)  iliyotengenezwa na Producer Federico Fellini wa huko huko Italy.


Hadhithi ya filamu hiyo ya La Dolce Vita inamhusu mwanahabari mchunguzi aliyeitwa Marcello (muigizaji akiwa Marcello Mastroianni) na mpiga picha wake aliyeitwa Paparazzo (muigizaji Walter Santesso). Ingawa...

 

10 years ago

Michuzi

JE WAJUA ASILI YA SALUTI YA ASKARI?

Na Sultani Kipingo Baada ya siku kadhaa za kupekua kila mahali kwenye vitabu vya historia, nimekuta hakuna ajuaye has asili ya saluti. Ila nimekuta maelezo kwamba katika historia ya askari, mkono wa kuume (ama mkomo wa silaha) ulikuwa ukiinuliwa kama ishara ya salamu za kirafiki. Wanahistoria wanasema huenda hiyo ilikuwa ni ishara ya kuonesha kwamba hauko tayari kutumia silaha na kushambulia. Ila toka enzi hizo, ni askari asiye na cheo ama mwenye cheo kidogo ndiye alikuwa analazimika kutoa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je, wajua 'Mbuzi' ni jina la utani la rais wa Ghana

Moja la bango lililokuwa limebebwa na waandamanaji hii leo katika mji wa Accra nchini Ghana huenda likaonekana kama lenye ujumbe m'baya kwa mtu asiyeelewa.

 

11 years ago

Michuzi

UNAJUA ASILI YA JINA IRINGA?

Jina Iringa lilitokana na neno la Kihehe "Lilinga" ambalo tafsiri yake kwa Kiingereza ni Observation Post. Wahehe walianzisha lilinga sehemu hii ilipo Iringa ya sasa, ilikuweza kuwaona maadui kwa urahisi na kuweza kutoa taarifa za kulinda Ikulu iliyokuweko Kalenga. Wajerumani walijenga Boma juu ya kilima hicho hicho baada ya ushindi uliopatikana baada ya kupigana na Wahehe kwa mara ya pili. Katika pambano la kwanza Wajerumani chini ya Von Zelewiski waliuwawa wote akabakizwa mmoja akatoe...

 

11 years ago

Habarileo

‘Rasilimali za asili Afrika ndiyo mitaji ya uchumi’

NCHI za Afrika zinapaswa kutambua kuwa rasilimali za asili zilizoko kwenye nchi hizo, ndio mitaji yao, hivyo zina haki ya kufaidika na rasilimali kwa usawa, kama anavyofaidika mwekezaji wa kigeni anayekuja na mtaji wa fedha.

 

11 years ago

Bongo5

Agnes Masogange apata uraia wa Afrika kusini na kubadili jina, sasa aitwa ‘Thando’

Video vixen maarufu wa Bongo Agnes Gerald maarufu zaidi kwa jina la Agnes Masogange ambaye kwa miezi kadhaa sasa amehamishia makazi yake Afrika Kusini, amebadili jina na huenda akawa raia wa huko! Kupita Instagram mrembo huyo mwenye umbo ‘matata’ alianza kwa kupost picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini kama ishara kwamba amepata uraia […]

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Ykileo

JE WAJUA? : KESHO YA UHALIFU MTANDAO

Swala la uhalifu mtandao limezidi kutengeneza vichwa vya habari kila kukicha pakizingatiwa ukuwaji wa mbinu mpya za wahalifu mtandao zinazo wawezesha kufikia malengo ya kuleta athari kimtandao hivi leo. Wakati huo huo vita ya uhalifu mtanda imeendelea kwa kasi katika maeneo mbali mbali duniani.


Mijadala, maazimio mbali mbali pamoja na kupitishwa maamuzi yakua mwaka huu wa 2014 kua mwaka wa vitendo kukabiliana na uhalifu vimeenda sambamba na ukuwaji wa kasi wa uhalifu mtandao hivi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani