UNAJUA ASILI YA JINA IRINGA?
![](http://4.bp.blogspot.com/-H8v7elVqvFs/VBIN9A3DC6I/AAAAAAAGjDI/bjXhRk5H6FI/s72-c/167793_1842913711499_217070_n.jpg)
Jina Iringa lilitokana na neno la Kihehe "Lilinga" ambalo tafsiri yake kwa Kiingereza ni Observation Post. Wahehe walianzisha lilinga sehemu hii ilipo Iringa ya sasa, ilikuweza kuwaona maadui kwa urahisi na kuweza kutoa taarifa za kulinda Ikulu iliyokuweko Kalenga. Wajerumani walijenga Boma juu ya kilima hicho hicho baada ya ushindi uliopatikana baada ya kupigana na Wahehe kwa mara ya pili. Katika pambano la kwanza Wajerumani chini ya Von Zelewiski waliuwawa wote akabakizwa mmoja akatoe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lE3kBlvuoak/U9Vg_znpV4I/AAAAAAAF7Gw/BGHvxa8-hHA/s72-c/Ladolce3.jpg)
JE wajua asili ya jina paparazzi?
Na Sultani Kipingo
![](http://1.bp.blogspot.com/-lE3kBlvuoak/U9Vg_znpV4I/AAAAAAAF7Gw/BGHvxa8-hHA/s1600/Ladolce3.jpg)
Hadhithi ya filamu hiyo ya La Dolce Vita inamhusu mwanahabari mchunguzi aliyeitwa Marcello (muigizaji akiwa Marcello Mastroianni) na mpiga picha wake aliyeitwa Paparazzo (muigizaji Walter Santesso). Ingawa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VYWxOiV9j10/VJXOy_qY8TI/AAAAAAAG4yA/Ka8BPuboqVA/s72-c/download.jpg)
je wajua asili ya jina Afrika?
![](http://1.bp.blogspot.com/-VYWxOiV9j10/VJXOy_qY8TI/AAAAAAAG4yA/Ka8BPuboqVA/s1600/download.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HGi2GKk4aew/VMj4q71nF3I/AAAAAAAG_60/vvTidS0UO4E/s72-c/Flag-Pins-Tanzania-European-Union.jpg)
Launch of the European Union Supported "Usafi Iringa-Iringa Sanitation" Project
![](http://3.bp.blogspot.com/-HGi2GKk4aew/VMj4q71nF3I/AAAAAAAG_60/vvTidS0UO4E/s1600/Flag-Pins-Tanzania-European-Union.jpg)
With funding from the European Union, ACRA-CCS Foundation, in partnership with Iringa Municipal Council, Iringa Urban Water and Sanitation Authority (IRUWASA), local (MAMADO, IDYDC) and international...
10 years ago
Dewji Blog18 Apr
UVCCM Iringa walipigia hesabu kulikomboa jimbo la Iringa mjni
Katibu wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga katika kikao na baadhi ya vijana hao.
Na Mwandishi wetu
KIU ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kukomboa jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inazidi kuongezeka, baada ya umoja wake wa vijana (UVCCM Manispaa ya Iringa) kuahidi kuongeza nguvu ili kuufanikisha mkakati huo.
CCM ililipoteza jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 kwa Mchungaji Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xMCtlOLhuReAt*SvSINcgBFSx*cxca6SI49EIsuP8qYwH69MCWOLujFKk6CmctPia3tv*iM9IL*k5iNXMmCOVIHBMqUmpTZC/001Iringa.jpg?width=650)
WAKAZI 6 WA MKOA WA IRINGA WATIMKA NA BODABODA ZA VODACOM IRINGA
10 years ago
MichuziIRINGA KIBIKI CHILDREN CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI IRINGA
10 years ago
VijimamboJESHI LA POLISI MKAONI IRINGA LINAWASHIKILIA WANANCHUO 89 WA CHUO KIKUU CHA IRINGA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YLuC-Ax2HFo/VZuXdCm30TI/AAAAAAAABv4/FNaD3LbWPjU/s72-c/20150601_161420.jpg)
Mamia ya wana Iringa waendelea kumchangia Mwanahabari Kibiki achukue fomu ya Ubunge Iringa mjini
![](http://2.bp.blogspot.com/-YLuC-Ax2HFo/VZuXdCm30TI/AAAAAAAABv4/FNaD3LbWPjU/s400/20150601_161420.jpg)