JE.WAJUA FAIDA ZA MICHE YA MCHIKICHI.
KIGOMA MA MAFUTA YA MAWESE;
Mafuta ya mawese ama palm oil yana faida nyingi tu kwa ajili ya ngozi yako Yanalainisha ngozi na kuiacha ikiwa na unyevu unyevu
Siku hizi sabuni, shampoo na mafuta mengi yanayotengenezwa viwandani yanakua yanatumiwa mafuta ya mawese kama malighafi ya kutengenezea. Hii ni kwa sababu ya ubora wake na suluhisho katika maswala yanayohusu ngozi.
Yana virutubisho vinavyoweza kuponesha ngozi iliyochomwa na jua na yenye michirizi Kama ilivyo kwa mafuta mengine halisi mafuta...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aagna4_tjq8/XlzNW-rGLVI/AAAAAAALgW0/UPWnhSe8anMotEwjPR7JgADddm3IL6e5wCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Wafungwa 150 wapelekwa Kwitanga kulima Mchikichi
Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mkakati huo uliotolewa maagizo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katikati ya mwaka 2018 alipofanya ziara gerezani hapo ukiwa na lengo la...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NwSEZwA2iSo/Xs-7V0qujlI/AAAAAAALr3k/b0rBZTMQjrE4VSwuhRKKAK9wih7nk0acQCLcBGAsYHQ/s72-c/1%2B%25282%2529.jpg)
TANZANIA YAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUFUFUA ZAO LA MCHIKICHI MKOA WA KIGOMA.
Kufuatia hali hiyo Serikali ya Awamu ya Tano ilianza kutekeleza mkakati wa makusudi kwa kufufua zao la mchikichi katika Mkoa wa Kigoma ili kuwezesha uzalishaji wa mafuta na kuziba pengo la mafuta yanayoagizwa nje ya nchi ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe . Kassim Majaliwa.
Kwa mujibu wa Kaimu Mkuu wa...
11 years ago
Habarileo18 Apr
Miche 500,000 ya karafuu yapandwa
ZAIDI ya miche ya mikarafuu 500,000 imepandwa Unguja na Pemba katika kipindi cha mvua za masika, zinazoendelea kunyesha nchini kote.
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
DC ataka wakulima wauziwe miche ya kahawa
MKUU wa Wilaya ya Moshi, Dk. Ibrahim Msengi, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kutoza pesa kwa miche bora ya kahawa inayotolewa kwa wakulima wa zao hilo badala ya kugawa...
10 years ago
Habarileo31 Dec
Zanzibar kuotesha miche ya karafuu milioni 1
JUMLA ya mikarafuu milioni 1 inatazamiwa kuoteshwa kwa mwaka katika vitalu vya Serikali vya Idara ya Misitu na mali zisizorejesheka na kusambazwa bure kwa wakulima wa lengo la kuimarisha zao hilo kuendelea kuwa tegemeo la taifa.
11 years ago
Habarileo28 Jun
Miche ya bangi shambani nusura impeleke jela
MKAZI wa Kijiji cha Mtapenda, John Kilula( 32) ameponea chupuchupu kwenda jela mwaka mmoja baada ya kulipa faini ya Sh 50,000.
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Wakulima wagawiwa miche milioni tatu ya kahawa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-AAGz-Go9N28/XlgrA_5pGZI/AAAAAAALfvE/hQbb8FKvZc8KNRB4BBbYSdC2YZdG_Tn1wCLcBGAsYHQ/s72-c/88080157_1094712217554036_1932203347205423104_n.jpg)
SAOHILL WAGAWA MICHE MILIONI MOJA KWA WANANCHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-AAGz-Go9N28/XlgrA_5pGZI/AAAAAAALfvE/hQbb8FKvZc8KNRB4BBbYSdC2YZdG_Tn1wCLcBGAsYHQ/s640/88080157_1094712217554036_1932203347205423104_n.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-J6ipgBjccHI/XlfsYEHWH5I/AAAAAAAAHoY/q7Ca4NqcE3sM51hoNahiqFxEJ2HEapQawCLcBGAsYHQ/s640/87818143_1094711437554114_7159007477890023424_n.jpg)
NA FREDY MGUNDA,SAO HILL.
ZAIDI ya miche milioni moja imegawiwa kwa wananchi wa vijiji vinavyolizunguka shamba la Miti SaoHill katika musimu wa mwaka wa 2019/2020 kwa lengo la kuimalisha ujirani mwema ambao umekuwa umedumu kwa miaka mingi.
Zoezi la ugawaji miche ya miti kwa ajili ya ujirani mwema hufanyika kila mwaka kipindi cha masika kwa lengo la kuhakikisha wanapanda miti hiyo na inakuwa kwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aE5gaKOGBww/XsfeQ7lkgXI/AAAAAAALrSo/eAbqGqRaCNsvpLpGeE4ZzW1lfyGo1r6VQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200521-WA0324.jpg)
MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI APOKEA MICHE 500 YA MITI
![](https://1.bp.blogspot.com/-aE5gaKOGBww/XsfeQ7lkgXI/AAAAAAALrSo/eAbqGqRaCNsvpLpGeE4ZzW1lfyGo1r6VQCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200521-WA0324.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-XKj-9Mr8kKs/XsfeRoiVsTI/AAAAAAALrSw/qQwJV6cGznQsYWnp7X1-5PxEyGbnUD62wCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200521-WA0325.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli Stephen Anderson Ulaya jana amepokea miche 500 ya miti kutoka katika...