Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUFUFUA ZAO LA MCHIKICHI MKOA WA KIGOMA.

Tanzania inaagiza asilimia 60 ya mafuta ya kupikia kutoka nje ya nchi kutokana na uhaba wa uzalishaji katika viwanda vilivyopo nchini.

Kufuatia hali hiyo Serikali ya Awamu ya Tano ilianza kutekeleza mkakati wa makusudi kwa kufufua zao la mchikichi katika Mkoa wa Kigoma ili kuwezesha uzalishaji wa mafuta na kuziba pengo la mafuta yanayoagizwa nje ya nchi ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe . Kassim Majaliwa.

Kwa mujibu wa Kaimu Mkuu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

KIGOMA WAAHIDI KUMPA RAIS DK. MAGUFULI ASANTE YA KURA ZA KISHINDO 2020 KWA DHAMIRA YAKE YA KUFUFUA ZAO LA MICHIKICHI MKOANI HUMO

Na Hamis Shimye, KigomaUAMUZI wa serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Magufuli kudhamiria kufufua zao la mchikichiki ni hatua madhubuti inayokwenda kubadilisha hali na maisha ya mwananchi hasa wa Kigoma ambaye zao la mchikichi ni tegemeo la maisha yake.
Tumekuwa kwa zao hilo na hata wazazi wetu wamesoma shule kwa zao hilo ambalo kwa miaka ya nyuma ndio lilikuwa zao kubwa sana na ndio maana kwenye kila kaya ndani ya mkoa wa Kigoma huwezi ukakosa kukuta mashine ya kukamua mawese kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TRL YAPOKEA MABEHEWA 50 YA KUBEBA MAKONTENA, NI MKAKATI WA KUTEKELEZA BRN


Katibu Mkuu wizara ya Usafirishaji, Shaaban Mwinjaka, (Kushoto), akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa TRL, Kipallo Amani Kisamfu, wakati akiwasikli bandarini jijini Dar es Salaam, leo Jumatano Nov 19, 2014, kupokea mabehewa 50 ya kubeba makontena. Moja kati ya mabehewa 50 ya kubebe makasha, likishushwa kutoka kwenye meli, bandarini jijini Dar es Salaam leo Jumatano Nov 19, 2014. Mabehewa hayo yataongeza utoaji huduma wa Kampuni ya reli Tanzania, (TRL), kutoka kutoa huduma za usafirishaji mizigo...

 

9 years ago

Mwananchi

Tamisemi yaanza kutekeleza agizo

Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeziagiza halmashauri nchini kuanzisha programu maalumu ya chakula kwa shule zote za msingi zilizokuwa zikichangiwa na wazazi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Iran yaanza kutekeleza mkataba wa nyuklia

Iran imeanza kutekeleza vipengee vya mkataba wa kufuta mradi wake wa nyuklia iliyokubaliana na mataifa ya makubwa duniani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Exim yaanza kutekeleza dira kuongeza mapato

BENKI ya Exim Tanzania imeanza utekelezaji wa dira yake ya mwaka 2016 ambayo inalenga kuongeza mapato yake maradufu na kuiongezea amana katika soko ifikapo mwaka 2016. Ikiwa ni benki inayoshika...

 

9 years ago

Michuzi

UVCCM MKOA WA KIGOMA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA MKOA NA KUWAFARIJI WAGONJWA.

 Baadhi ya wanachama wa UVCCM Mkoa wa Kigoma wakifanya usafi katika hospital ya mkoa wa kigoma.

Mbunge wa viti maalum kupitia umoja wa vijana Zainabu Katibu akiwafariji watoto waliolazwa katika hospitali ya Mkoa wa Kigoma

Na Editha Karlo wa blog ya jamii, KigomaUmoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma(UVCCM) wamefanya usafi katika hospitali ya Mkoa wa Kigoma (Maweni) sambamba na kuwafariji wagonjwa waliolazwa katika wodi mbalimbali hospitalini hapo.
Akiongea na waandishi wa habari...

 

10 years ago

StarTV

Viongozi CUF waaswa kutekeleza ahadi zao.

Na Abdalla Pandu,

Zanzibar.

 

Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi amewataka viongozi wa chama hicho kujenga utamaduni wa kutekeleza ahadi wanazotoa na kuacha tabia ya kuahidi mambo wasiyoyaweza kuyatekeleza kwani ndio chanzo cha migogoro kati yao na wananchi.

Anasema viongozi hutumia fursa za kampeni za kutaka uongozi kwa kutoa ahadi nyingi ambazo wanashindwa kuzitekeleza ipasavyo hali inayochangia wananchi kutokuwa na imani na viongozi hao.

loans online sc ...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAANZA MKAKATI WA MALISHO BORA YA KISAYANSI KWA AJILI YA MIFUGO.


Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza mara baada ya kukagua shamba darasa la malisho bora ya mifugo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida

Muonekano wa shamba darasa la malisho bora ya mifugo lililopo katika Kijiji cha Mahambe kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida.

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akikagua mbegu za moja ya aina ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani