Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafungwa 150 wapelekwa Kwitanga kulima Mchikichi

Wafungwa 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora wamepelekwa katika Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma ikiwa ni mkakati maalumu wa Serikali kuliteua gereza hilo kuwa Kituo Kikuu cha Uzalishaji wa zao la  mchikichi nchini.

Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mkakati huo uliotolewa maagizo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katikati ya mwaka 2018 alipofanya ziara gerezani hapo  ukiwa na lengo la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JE.WAJUA FAIDA ZA MICHE YA MCHIKICHI.


KIGOMA MA MAFUTA YA MAWESE;

Mafuta ya mawese ama palm oil yana faida nyingi tu kwa ajili ya ngozi yako Yanalainisha ngozi na kuiacha ikiwa na unyevu unyevu

Siku hizi sabuni, shampoo na mafuta mengi yanayotengenezwa viwandani yanakua yanatumiwa mafuta ya mawese kama malighafi ya kutengenezea. Hii ni kwa sababu ya ubora wake na suluhisho katika maswala yanayohusu ngozi.

Yana virutubisho vinavyoweza kuponesha ngozi iliyochomwa na jua na yenye michirizi Kama ilivyo kwa mafuta mengine halisi mafuta...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUFUFUA ZAO LA MCHIKICHI MKOA WA KIGOMA.

Tanzania inaagiza asilimia 60 ya mafuta ya kupikia kutoka nje ya nchi kutokana na uhaba wa uzalishaji katika viwanda vilivyopo nchini.

Kufuatia hali hiyo Serikali ya Awamu ya Tano ilianza kutekeleza mkakati wa makusudi kwa kufufua zao la mchikichi katika Mkoa wa Kigoma ili kuwezesha uzalishaji wa mafuta na kuziba pengo la mafuta yanayoagizwa nje ya nchi ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe . Kassim Majaliwa.

Kwa mujibu wa Kaimu Mkuu wa...

 

10 years ago

GPL

MDEE NA WENZAKE WAPELEKWA SEGEREA

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee na wenzake tisa wamepelekwa katika Gereza la Segerea jijini Dar baada ya kushindwa kutimiza baadhi ya masharti ya dhamana yao. Mdee na…

 

10 years ago

Mwananchi

Wakimbizi wa Burundi wapelekwa Nyarugusi

>Wakimbizi 720 kati ya 800 wanaoingia nchini kutoka Burundi wamewekwa kwenye Kambi ya Nyarugusi, Kasulu – Kigoma wengine wakiendelea na taratibu za kujiandikisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Majeruhi wa Simba wapelekwa Muhimbili

Majeruhi watano kati ya mashabiki 24 waliojeruhiwa katika ajali ya basi dogo la mashabiki wa klabu ya Simba SC Tawi la Mpira na Maendeleo (Simba Ukawa) watalazimika kuchunguzwa zaidi afya zao na madaktari bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuumia vibaya mkoani hapa.

 

10 years ago

Mwananchi

Ngeleja,Chenge wapelekwa Maadili

Licha ya Bunge kuazimia kuwa wenyeviti wa kamati zake waliotajwa kuhusika kwenye kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow wavuliwe nyadhifa zao, hali imekuwa tofauti katika vikao vya kamati hizo vilivyoanza jana baada ya baadhi yao kuongoza vikao hivyo. Jana, Kamati Kuu ya CCM imeamua viongozi hao, Andrew Chenge, William Ngeleja Na Profesa Anna Tibaijuka wafikishwe Kamati ya Maadili ya chama.

 

5 years ago

Michuzi

NUGAZ, MANARA WAPELEKWA KAMATI YA MAADILI

KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya bodi ya Ligi (TPLB) kimewataka Sekretarieti ya TFF  kufuatilia viongozi wa vilabu na Makocha  ambao hivi karibuni wamekuwa wakishutumu na kutoa matamshi yenye kukashifu na kudhalilisha.
Kamati hiyo imeeleza kuwa viongozi hao wamekuwa wanatoa maneno ya kukashifu na kudhalilisha viongozi ,Chapa (Brand) ya Ligi na Taasisi kwa ujumla kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwa vipindi tofauti tofauti.
Wamesema viongozi na Makocha  waliobainika ...

 

11 years ago

Habarileo

Mafundi gereji Tegeta wapelekwa Mabwepande

SERIKALI imewataka wananchi wanaojulikana kama Umoja wa Mafundi Gereji, waliopo eneo la Tegeta Wazo Hill jijini Dar es Salaam kuondoka eneo hilo kabla ya Agosti 17 mwaka huu na kuhamia eneo walilotaarifiwa, ili kutekeleza amri ya Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi.

 

11 years ago

GPL

MWILI WA MANDELA WAPELEKWA KWENYE OFISI ZA SERIKALI

Wanajeshi  wameubeba mwili wa hayati Mandela kuelekea ofisi za serikali jijini Pretoria. Mwanamitindo wa Uingereza, Naomi Campbell mbele ya jeneza la mwili wa Mandela.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani