Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAISHA: Je, wajua utapataje mafanikio?

Ili kufanikikiwa katika maisha vipo vitu au hatua ambazo huwa zinatulazimu kuzijua na kuzipitia kama kweli tunamaanisha na tunayadhamiria hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UKICHEPUKA MARA MOJA, INAWEZA KUYAGHARIMU MAISHA YAKO YOTE KUREJESHA UPENDO WAKE KWAKO BILA MAFANIKIO...

Tukiendelea na mada yetu kutoka pale tulipoishia wiki iliyopita, suala la kuchepuka ni la kupiga vita. Anayekuja kwako na vishawishi vya hapa na pale ndiye adui yako pale mambo yanapogeuka. Ukichepuka utamuumiza sana mwenzio, kisha nawe utaumia. Hii ni kwa sababu mateso ya mwenzi wako hayawezi kukupa ahueni. Kwa walio kwenye mapenzi ya dhati ni kwamba mwenzi wako anapoteseka, na wewe pia unakuwa kwenye mateso makali. Maana...

 

9 years ago

Mwananchi

MBINU ZA MAFANIKIO : Jinsi ya kutawala mafanikio yako - 2

Katika mada hii ya namna ya kudumisha mafanikio yako, wiki iliyopita nilielezea juu ya dondoo za jinsi ya kutawala biashara yako ili isitetereke na kurudi nyuma.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAISHA YA MAREHEMU WILBARD KENTE DMV

Mchungaji Essie Cannon akiongoza ibada ya kumbukumbu na shukurani ya maisha ya marehemu Mr. Wilbard W. Kente aliyefariki February 1, 2015 Tanzania. Ibada ya kumbukumbu ilifanyika katika kanisa la Universal Holiness lililopo Washington, DC nchini Marekani.Deo Mosha akisoma wasifu wa marehemu Mr. Wilbard Kente katika ibada ya kumbukumbu na shukurani iliyofanyika siku ya Jumamosi March 21, 2015 Washington, DC nchini Marekani.Abba Genes akisoma somo.Jerminr Shelukindo akisoma somo.Henry Kente...

 

11 years ago

Ykileo

JE WAJUA? : KESHO YA UHALIFU MTANDAO

Swala la uhalifu mtandao limezidi kutengeneza vichwa vya habari kila kukicha pakizingatiwa ukuwaji wa mbinu mpya za wahalifu mtandao zinazo wawezesha kufikia malengo ya kuleta athari kimtandao hivi leo. Wakati huo huo vita ya uhalifu mtanda imeendelea kwa kasi katika maeneo mbali mbali duniani.


Mijadala, maazimio mbali mbali pamoja na kupitishwa maamuzi yakua mwaka huu wa 2014 kua mwaka wa vitendo kukabiliana na uhalifu vimeenda sambamba na ukuwaji wa kasi wa uhalifu mtandao hivi...

 

5 years ago

Michuzi

JE.WAJUA FAIDA ZA MICHE YA MCHIKICHI.


KIGOMA MA MAFUTA YA MAWESE;

Mafuta ya mawese ama palm oil yana faida nyingi tu kwa ajili ya ngozi yako Yanalainisha ngozi na kuiacha ikiwa na unyevu unyevu

Siku hizi sabuni, shampoo na mafuta mengi yanayotengenezwa viwandani yanakua yanatumiwa mafuta ya mawese kama malighafi ya kutengenezea. Hii ni kwa sababu ya ubora wake na suluhisho katika maswala yanayohusu ngozi.

Yana virutubisho vinavyoweza kuponesha ngozi iliyochomwa na jua na yenye michirizi Kama ilivyo kwa mafuta mengine halisi mafuta...

 

10 years ago

Michuzi

je wajua asili ya jina Afrika?

Na Sultani Kipingo

Inasemekana kila jina lina asili yake na maana pia. Hata hilo jina lako ulipewa kwa sababu, na lina asili yake. Kama si la kutoka katika Biblia ama Quran, basi ni la kimila lenye kumaanisha jambo, kama vile siku, tukio, mahali ama hata shida au raha aliyopata mama wakati wa uzazi wako.

Jiji la Dar es salaam  zamani liliitwa Mzizima. Sultani Seyyid Majid wa Zanzibar ndiye aliyelipa jiji hili jina "Dar es Salaam" linalotokana na lugha ya Kiarabu  (Dār as-Salām) lenye...

 

11 years ago

Michuzi

JE wajua asili ya jina paparazzi?

  
Na Sultani Kipingo

Mnamo mwaka 1960 wapiga picha wa kujitegemea huko Italy walijipatia umaarufu mkubwa kutokana na filamu moja iliyokuwa mashuhuri duniani iliyoenda kwa jina la La Dolce Vita (“Maisha Matamu” kwa Kitaliani)  iliyotengenezwa na Producer Federico Fellini wa huko huko Italy.


Hadhithi ya filamu hiyo ya La Dolce Vita inamhusu mwanahabari mchunguzi aliyeitwa Marcello (muigizaji akiwa Marcello Mastroianni) na mpiga picha wake aliyeitwa Paparazzo (muigizaji Walter Santesso). Ingawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani