Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hii ni hatari

Dereva wa boda boda (haonekani pichani) akiwa amembeba abiria wake na mizigo yake kama ionekanavyo pichani,hali inayopelekea kuhatarisha usalama wa maisha yao.Picha hii ilinaswa na Camera ya Globu ya Jamii katika barabara ya Msata-Bagamoyo mapema jana jioni. 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

YANGA HII NI TAMU HATARI. .


HEBU CHEKI HII:-*Tumecheza michezo 5,Tumeshinda yote.*Tumefunga magoli 13,Tumefungwa goli 1.*Tunaongoza ligi toka ligi ilipoanza.*Timu yetu ndio ina safu kali ya kupachika mabao.*Timu yetu ndio ina safu ngumu ya ulinzi.*Timu mbili za juu kati ya 3 tumeshazifunga.
WACHEZAJI:-*Amiss Tambwe kafunga magoli 4.*Donald Ngoma kafunga magoli 4.*Malimi Busungu kafunga magoli 2.*Ally Mustafa hadi sasa ndie kipa bora.*Kamusoko,Twite na Msuva wamefunga goli moja kila mmoja.*Kiwango cha Kelvin Yondani...

 

10 years ago

GPL

HII NI HATARI KWA WATOTO HAWA

Watoto hao wakicheza kwenye mvua. KAMERA ya GPL leo imewanasa watoto walio mazingira magumu, wakiwa wanacheza barabarani huku mvua kubwa ikiwanyeshea maeneo ya Morocco, jijini Dar es Salaam, hali ambayo ni hatari  kwa afya na maisha yao. (Picha/Stori na Gabriel…

 

10 years ago

Mwananchi

‘Hii ndiyo mitandao hatari kwa ‘madenti’

 Tangu kuingia kwa miatandao ya kijamii nchini vijana wengi wamepata nafasi ya kuituma au kupokea ujumbe mfupi, picha na video; kwa njia rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka 20 iliyopita.

 

10 years ago

Vijimambo

HATA KAMA MSAFIRI KAFIRI LAKINI HII NI HATARI

Jikumbushe na hiki kibao hapa chini kiroho safi unaweza kujipakulia 

 

10 years ago

Vijimambo

Hii hatari Sana BVR,mtu mmoja vitambulisho viwili

Hii imekaaje wadau
Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu

 

5 years ago

BBCSwahili

Taitizo la Android: Kwa nini picha hii ni hatari kwa simu yako?

Picha ya ardhi yenye mandhari ya kuvutia , ilio na ziwa huku jua likitua nyuma ya milima inaonekana nzuri kwa mtu kutumia katika simu yake.

 

11 years ago

Michuzi

BARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!

Barabara ya Kijichi – Mbagala Kuu, ndani ya jiji la Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana na Mdau Nathan Mpangala. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Butiama, Bw. Haji Mgaya, alisema, dhahma hiyo ni ya muda mrefu na Manispaa ya Temeke ina taarifa hiyo kwa kupindi chote hivyo,lakini mpaka leo iko kimya tu.  Hapa dereva ‘akilala’ tu, kilio kitongoji kizima zikifuatiwa na salamu za rambirambi nyiiingi toka kwa viongozi. Inawezekana Manispaa ya Temeke haina picha halisi ya hatari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani