HISPANIA YAPATA KIPIGO CHA KARNE
![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRl29Wkf6kHFBJU7Ev9H3pUDnoaBNzjm0Y-z7aOexsIlJ025Z9GVYOP6*h21vcFyG72ZWNdAa4p-LfCSsJd3T2E2/1qnew.gif?width=650)
RIO DE JANEIRO, Brazil INAWEZEKANA usiamini kilichotokea, hiyo ni kama hukupata nafasi ya kuuona mchezo kati ya Hispania ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia, dhidi ya Uholanzi, jana, ambapo mabingwa hao walipata kipigo kikali na cha aibu.…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV24 Aug
Timu ya Ngassa yapata kipigo cha mbwa mwizi cha 4-0
![](http://2.bp.blogspot.com/-O3yxJUEbx6U/VdmZnmQQGuI/AAAAAAABm1I/-CU5iUl2nIw/s640/13dc4207e53088253da60d7926d652d7.jpg)
TIMU ya Free State Stars yenye Mtanzania, Mrisho Khalfan Ngassa imefungwa mabao 4-0 jana na Kaizer Chiefs katika mchezo wa Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini Uwanja wa FNB, Johannesburg.
Huo unakuwa mchezo wa pili Free State kufungwa, baada ya wiki mbili zilizopita kufungwa 1-0 nyumbani na Mpumalanga Blac Aces.
Katika mchezo wa jana ambao Ngassa hakucheza, mabao ya Kaizer Chiefs yalifungwa na Siboniso Gaxa dakika ya 34,...
11 years ago
MichuziNEW YORK YAPATA KIPIGO CHA MBWA MWIZI, YAPACHIKWA 5-0 NA DMV, PBZ WADHAMINI MECHI HIYO
Timua New York siku ya Jumamosi ilizima fegi mbele ya timu ya DMV kwenye mtanange uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa DMV wakiongozwa na wachezaji wa timu zote mbili kwa kutambiana kwenye mitandao ya kijamii kabla ya mtanange huo kuhitimishwa hapo jana siku ya Jumamosi May 24, 2014 katika uwanja wa Walker Mills Park uliopo Capitol Heights.
Mbali na mechi hiyo kuwa nzuri...
11 years ago
BBCSwahili10 Jan
Kenya:Al shabaab yapata kipigo
11 years ago
BBCSwahili23 Jun
Amisom:Al Shabaab yapata kipigo Somalia
10 years ago
Vijimambo11 Apr
BAADA YA KIPIGO CHA TAREHE 8 CHA BAO 8 JULIO ATUPIWA VILAGO KWENYE KAMATI YA UFUNDI YA COASTAL
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/Jamhuri-Kihwelo-Julio.jpg)
KOCHA wa Coastal Union, Jamhuri Musa Kiwhelo ‘Julio’ ametimuliwa baada ya kichapo cha magoli 8-0 alichopata kutoka kwa Yanga jumatano ya wiki hii.Taarifa za ndani na za uhakika kutoka kwa viongozi wa Coastal, siku hiyo baada ya kipigo walikubaliana kumtimua Julio na yeye alipewa taarifa hizo na kukubali.
Ili kulinda heshima yake, Julio akaomba aongoze mechi ya jumamosi uwanja wa Azam Complex dhidi ya Jkt Ruvu jumamosi ya wiki hii kwa nia ya kuogopa kudhalilishwa.
Baada ya mechi hiyo dhidi ya...
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Marco Asensio kizazi kipya cha soka la Hispania
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Insignia Limited yapata cheti cha mazingira cha ISO 14000
Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi nchini Tanzania ya Insignia Limited, inajivunia kutangaza kupata cheti cha ISO 14000, cheti cha kiwango cha kimataifa cha uwajibikaji katika usimamizi na uhifadhi wa mazingira. Viongozi wa kampuni walitangaza mafanikio hayo mjini Dar es Salaam. Cheti hicho cha ISO kilitolewa kuthibitisha viwango vya kampuni kufwatia dhamira yake katika shughuli za utunzaji wa mazingira
Mwaka 1996, Serikali ya Tanzania ilizindua sera endelevu ya maendeleo ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5FcKyNSVFo0/Xo2RUjz0N1I/AAAAAAALmeE/gz10wRbmC149X-FxtSDyny57GkcXk7AaQCLcBGAsYHQ/s72-c/3d72aa4b-0994-479d-b87b-c6f0ead19cf6.jpg)
KUSINI YAPATA KITUO CHA KISASA CHA MICHEZO
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Lindi, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Ally Kamtande, amesema kituo hicho kinajengwa katika shule ya Sekondari Nyangao iliyopo mkoani Lindi.
Amesema kwa sasa tayari wameshaanza kuboresha uwanja wa mpira wa miguu kwa kuweka nyasi bandia kwenye eneo la kuchezea huku lengo...
10 years ago
Mtanzania04 Feb
JK afichua kipigo cha Lipumba
Na Fredy Azzah
SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kupigwa na polisi, Rais Jakaya Kikwete amesema tukio hilo limetokea kwa sababu nchi inaongozwa kwa sheria na atakayekiuka atakumbana na mkono wa sheria.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya mazungumzo ya faragha na mgeni wake, Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck, ambaye yuko nchini kwa ziara...