Hodi Simba
![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVIhzAPGlSGJKvD0hvJiAb7aEwdDBHgvDctFy6WRwCg55ecmLam848CULY0Z1saS-BKcE27*7Sn2e1pNSXRGqIKm/hodi.jpg)
Wachezaji w aYanga wakishangilia goli. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge HODI SIMBA! Yanga imeanza kukaa sawa kwenye Ligi Kuu Bara lakini jana imetoa onyo kwa watani wao wa jadi, Simba, kuelekea mchezo wa Oktoba 18 kwa kuonyesha kandanda safi ilipoitungua JKT Ruvu 2-1. Wakati Simba, ikisuasua kwenye ligi hiyo, Yanga wanazidi kuchanja mbunga. Yanga chini ya kocha Mbrazili, Marcio Maximo, ndiyo timu pekee kati ya zile...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zng6VD7bzkw/VSqIkAk4AwI/AAAAAAAHQr4/GLipOMuUDbw/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
NEWS ALERT: HODI, HODI ROCK CITY...TRENI YA DELUXE YAELEKEA MWANZA LEO JUMAPILI
![](http://1.bp.blogspot.com/-zng6VD7bzkw/VSqIkAk4AwI/AAAAAAAHQr4/GLipOMuUDbw/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-CaNHffDuy_8/VSqIkG8xEII/AAAAAAAHQr0/Jio7RWDh8tY/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-EVoCjpKwQyk/VSqIjyh3vEI/AAAAAAAHQrw/OmNt5k0W2gE/s1600/unnamed%2B(6).jpg)
11 years ago
BBCSwahili06 Mar
Kombe la dunia labisha hodi hodi.
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Hodi Hodi Brazil 2014, kumekucha!
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BIuHiTJVX7A/U338FTeG1zI/AAAAAAAFkeU/9cXwcL3p88w/s72-c/unnamed+(22).jpg)
UMATI- “KUPIGA HODI BUNGENI”
Akiongea na vyombo vya habari Jijini Mwanza mkurugenzi mtendaji wa UMAT Tanzania, Lulu Ng’wanakilala, alisema kama UMAT wanadhamiria kwenda Bungeni wakati Wizara zinazohusika na masuala ya uzazi na Malezi zitakapokuwa zikiwasilisha bajeti zao...
10 years ago
Habarileo26 Aug
Ebola yapiga hodi DRC
SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imebaini kuwepo kwa mlipuko wa maradhi ya homa kali maeneo ya Kaskazini mwa nchi hiyo, ambayo sasa imethibitika kuwa ni ugonjwa wa ebola.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
K-Mondo yapiga hodi DDC Kariakoo
BAADA ya kuwaburudisha wakazi wa viunga vya Mbezi Beach kwa takriban miaka mitano bila kutoka Wilaya ya Kinondoni, bendi ya K-Mondo Sound imeanza kushika kasi na kuvuka mipaka ambako wiki...
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Mipango miji wapiga hodi Jangwani
HATIMAYE wajumbe wa Baraza la Madiwani Manispaa ya Ilala jana walifanya ziara ya uhakiki wa eneo la Jangwani ambalo linamilikiwa na Klabu ya Yanga, mitaa ya Twiga na Jangwani, jijini...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Wambura, Julio wapiga hodi TFF
MGOMBEA nafasi ya urais wa Klabu ya Simba, Michael Wambura na wa nafasi ya makamu rais, Jamhuri Kihwelo ‘Julio Alberto Tarantina Perreira’ wamepiga hodi Kamati ya Maadili ya Shirikisho la...
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Kilimanjaro Music Tour yabisha hodi Moshi
ZIARA ya Kilimanjaro Music Tour ambayo imeanza kuwa gumzo kwa sasa katika sekta ya burudani, imebisha hodi mjini Moshi ambako wapenzi wa muziki wanatarajiwa kupata burudani ya aina yake kutoka...