Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMATI- “KUPIGA HODI BUNGENI”

Chama cha uzazi na malezi bora nchini UMAT, Tanzania kimeazimia kwenda Bungeni Mjini Dodoma kwa ajili yakuwakilisha mambo mbali mbali yanayo kikabili chama hicho, ikiwapo kuongea na mlezi wao ambaye ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiongea na vyombo vya habari Jijini Mwanza mkurugenzi mtendaji wa UMAT Tanzania, Lulu Ng’wanakilala, alisema kama UMAT wanadhamiria kwenda Bungeni wakati Wizara zinazohusika na masuala ya uzazi na Malezi zitakapokuwa zikiwasilisha bajeti zao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: HODI, HODI ROCK CITY...TRENI YA DELUXE YAELEKEA MWANZA LEO JUMAPILI

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dk Shaban Mwinjaka akikata utepe kuzindua safari hiyo  Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dk Shaban Mwinjaka akiondoa treni kwa kupunga benderaUongozi wa Kampuni  ya Reli Tanzania  –TRL unachukua  fursa hii kuwataarifu wateja wetu wote na Watanzania kwa ujumla na hasa ukanda  wa ziwa kuwa hatimaye ile huduma iliyokuwa ikisubiriwa leo Aprili 12 , 2015 inaelekea Mwanza ‘Rock City’ Ziwa Victoria!

Safari hii ni ya pili kwa vile ya uzinduzi iliyofanyika Aprili...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia labisha hodi hodi.

Mechi za kirafiki zaandaliwa katika maeneo mbali mbali duniani kwa maandalizi ya kombe la dunia litakaloandaliwa nchini Brazil.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hodi Hodi Brazil 2014, kumekucha!

Michuano ya kombe la dunia inang'oa nanga Brazil Alhamsi. Sura ya nchi hiyo imebadilika na hivi ndivyo mambo yalivyo

 

11 years ago

Mwananchi

Ridhiwani Kikwete aanza kupiga hesabu za bungeni

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete ameanza kujinadi akisema endapo ataingia bungeni, atawaelimisha wabunge juu ya kuweka mbele maslahi ya Watanzania badala ya kulalamikia posho.

 

10 years ago

GPL

Hodi Simba

Wachezaji w aYanga wakishangilia goli. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
HODI SIMBA!  Yanga imeanza kukaa sawa kwenye Ligi Kuu Bara lakini jana imetoa onyo kwa watani wao wa jadi, Simba, kuelekea mchezo wa Oktoba 18 kwa kuonyesha kandanda safi ilipoitungua JKT Ruvu 2-1.
Wakati Simba, ikisuasua kwenye ligi hiyo, Yanga wanazidi kuchanja mbunga. Yanga chini ya kocha Mbrazili, Marcio Maximo, ndiyo timu pekee kati ya zile...

 

10 years ago

Habarileo

Ebola yapiga hodi DRC

SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imebaini kuwepo kwa mlipuko wa maradhi ya homa kali maeneo ya Kaskazini mwa nchi hiyo, ambayo sasa imethibitika kuwa ni ugonjwa wa ebola.

 

11 years ago

Tanzania Daima

K-Mondo yapiga hodi DDC Kariakoo

BAADA ya kuwaburudisha wakazi wa viunga vya Mbezi Beach kwa takriban miaka mitano bila kutoka Wilaya ya Kinondoni, bendi ya K-Mondo Sound imeanza kushika kasi na kuvuka mipaka ambako wiki...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mipango miji wapiga hodi Jangwani

HATIMAYE wajumbe wa Baraza la Madiwani Manispaa ya Ilala jana walifanya ziara ya uhakiki wa eneo la Jangwani ambalo linamilikiwa na Klabu ya Yanga, mitaa ya Twiga na Jangwani, jijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wambura, Julio wapiga hodi TFF

MGOMBEA nafasi ya urais wa Klabu ya Simba, Michael Wambura na wa nafasi ya makamu rais, Jamhuri Kihwelo ‘Julio Alberto Tarantina Perreira’ wamepiga hodi Kamati ya Maadili ya Shirikisho la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani