Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hospitali Serikali majanga matupu

Hakufai. Pengine ni neno linaloweza kuwakilisha uhalisi wa hali ilivyo katika baadhi ya hospitali kadhaa za Serikali nchini, ambako mamia ya wagonjwa wanateseka kutokana na uhaba wa dawa, vitendanishi na vifaa tiba ambao umeendelea kuzikumba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Majanga matupu TFF

Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara imelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la zaidi ya Sh 141 milioni linalodaiwa na Kampuni ya Punchlines Tanzania Limited ndani ya siku 14 vinginevyo basi lake litakamatwa na kuuzwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tambwe amfunika Okwi, Yanga majanga matupu

>Mshambuliaji Amis Tambwe ameitibua sherehe ya utambulisho wa Emmanuel Okwi baada ya kupachika  mabao mawili wakati Simba ilipoichakaza Yanga 3-1 katika mchezo wa ‘Nani Mtani Jembe’ jana kwenye Uwanja Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2014 MBONA MAJANGA

Stori: Denis Mtima
HAYA MAJANGA! Wakati vuguvugu la uchaguzi wa serikali za mitaa likiwa bichi, baadhi ya sehemu zikiwa zinasubiri zoezi hilo kutokana na sababu tofauti, matukio mbalimbali, yakiwemo ya kusikitisha, yameripotiwa. Wananchi wakiutoa mwili wa marehemu Bandoma Mabele (58) majini.
Huku washindi wa nafasi mbalimbali zilizokuwa zikigombewa wakisheherekea kwa namna ya aina yake, katika Kijiji cha Mwagika, Sengerema...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yathamini mchango wa wafanyabiashara kwa Kusaidia Waliopata Majanga

Mkuu wa Wilaya ya Songea Benson Mpesya amewataka wafanyabiashara kutambua kuwa Serikali inathamini mchango wao hasa pale wanapoungana na Serikali kuwasaidia wananchi wanapopatwa na majanga.

Mpesya amesema hayo alipokuwa akipokea mabati 112 na misumari ya bati kutoka kwa wafanyabiashara wa manispaa ya Songea kwa lengo la kuwasaidia wananchi walioezuliwa nyumba zao na upepo mkali ulioambatana na mvua na kuziacha familia 15 bila kuwa na mahali pa kuishi.

 Mkuu wa Wilaya ya Songea Benson Mpesya...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuweka mikakati ya kupunguza athari zitokanazo na majanga hasili.

Serikali imeshauriwa kuweka mikakati mahsusi ya kuwekeza kwenye Sayansi ili kupunguza kasi ya ongezeko la majanga ya asili duniani yakiwemo mafuriko, ukame na vimbunga yanayoweza kuleta athari kubwa kwa nchi zinazoendelea.

Maadhimisho ya siku ya sayansi duniani yanayofanyika Novemba 10 kila mwaka, yanakwenda sanjari na uzinduzi wa toleo jipya lenye dhana muhimu ya Sayansi Duniani kwa amani na maendeleo, likiwa na maana ya kuonyesha mwelekeo wa sayansi, teknolojia na maendeleo kwa kila...

 

10 years ago

KwanzaJamii

USULUHISHI BUNGE LA KATIBA MAZINGAOMBWE MATUPU

Mchakato wa Katiba Mpya umeendelea kuzua vioja mjini hapa kufuatia mkutano wa kusuluhisha wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Tanzania Kwanza ili kunusuru Bunge Maalum la Katiba lililogawanyika vipande vipande kushindwa kujitokeza katika ukumbi uliokuwa umepangwa. Mkutano huo ambao ulipangwa kufanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Dodoma, haukufanyika kutokana na kutojitokeza hata mjumbe mmoja kutoka katika wajumbe wa Ukawa unaounda na vyama vya Chadema, CUF na...

 

10 years ago

Habarileo

JK: Serikali itaendelea kuboresha hospitali

Rais Jakaya KikweteSERIKALI imesema itaendelea kuboresha sekta ya afya nchini kwa kuboresha zahanati, vituo vya afya, hospitali za wilaya, rufaa na vyuo vinavyotoa taaluma ya uuguzi na udaktari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yashauriwa kuboresha hospitali

SERIKALI imeshauriwa kuboresha huduma za hospitali nchini ili kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano vinavyotokana na ukosefu wa vifaatiba. Ushauri huo ulitolewa jijini Dar es...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yaifunga Hospitali ya IMTU

Serikali imeifungia Hospitali ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU), baada ya kuifanyia ukaguzi na kubaini kasoro kadhaa za uendeshaji wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani