Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe amfunika Okwi, Yanga majanga matupu

>Mshambuliaji Amis Tambwe ameitibua sherehe ya utambulisho wa Emmanuel Okwi baada ya kupachika  mabao mawili wakati Simba ilipoichakaza Yanga 3-1 katika mchezo wa ‘Nani Mtani Jembe’ jana kwenye Uwanja Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Tambwe: Nataka mshahara wa Okwi Yanga

Mshambiliaji  wa kimataifa ya Simba kutoka Burundi, Amissi Tambwe. Na Sweetbert Lukonge
MSHAMBULIAJI wa kimataifa ya Simba kutoka Burundi, Amissi Tambwe, amesema atakuwa tayari kujiunga na Yanga endapo tu klabu hiyo itakubali kumpa mshahara kama anaochukua mshambuliaji Emmanuel Okwi. Hivi karibuni kumekuwepo na tetesi kuwa  Yanga inamhitaji mshambuliaji huyo ambaye anaongoza kwa kuzifumania nyavu katika michuano ya Ligi...

 

11 years ago

Mwananchi

Majanga matupu TFF

Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara imelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la zaidi ya Sh 141 milioni linalodaiwa na Kampuni ya Punchlines Tanzania Limited ndani ya siku 14 vinginevyo basi lake litakamatwa na kuuzwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Hospitali Serikali majanga matupu

Hakufai. Pengine ni neno linaloweza kuwakilisha uhalisi wa hali ilivyo katika baadhi ya hospitali kadhaa za Serikali nchini, ambako mamia ya wagonjwa wanateseka kutokana na uhaba wa dawa, vitendanishi na vifaa tiba ambao umeendelea kuzikumba.

 

10 years ago

Mwananchi

Dakika 270, Okwi amfunika Jaja

Siku kumi, kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Yanga na Simba, mshambuliaji Genilson

 

9 years ago

Mwananchi

Ngoma, Tambwe majanga

Wachezaji wa Yanga, Mrundi  Amissi Tambwe, Nadir Haroub  ‘Cannavaro’ na Oscar Joshua wameshindwa kufanya mazoezi jana kutokana na kusumbuliwa na malaria, wakati Mzimbabwe Donald Ngoma akisumbuliwa na  maumivu ya nyonga.

 

10 years ago

Mwananchi

Beki awapania Tambwe, Okwi

Habari mbaya kwa washambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi na Amissi Tambwe ni kuwa yule beki mbishi wa Stand United,  Yassin Mustapha ‘Evra’ amerejea na atakuwapo dimbani kwenye mchezo wao kesho, Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

KIONGERA, TAMBWE, OKWI NI MOTO MWINGINE

Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe akishangilia bao. Na Wilbert Molandi BAADA ya kuisuka vema kombinesheni ya Emmanuel Okwi na Paul Kiongera, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, ameanza kuitengeneza nyingine ya Mrundi, Amissi Tambwe na Amri Kiemba.Awali, kocha huyo aliwahi kulalamikia safu ya ushambuliaji ya timu kushindwa kutumia nafasi nyingi wanazozipata katika mechi tatu za kirafiki ilizocheza timu hiyo ikiwa Zanzibar...

 

10 years ago

GPL

Tambwe: Tumeelewana na Okwi, subirini moto wetu

Na Khadija Mngwai
MSHAMBULIAJI wa Simba, Amissi Tambwe, raia wa Burundi, amefunguka kuwa anafurahia ushirikiano wake na Emmanuel Okwi katika kikosi cha Simba na kuahidi kuwa watafanya vizuri katika mechi zijazo.
Kauli ya Tambwe imekuja muda mfupi kabla ya Simba kuivaa Polisi Moro katika mechi ya Ligi Kuu Bara, kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini. Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi...

 

10 years ago

Mtanzania

Tambwe aanza mavitu Yanga

tm

 

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI mpya wa timu ya Yanga, Mrundi Amis Tambwe, jana alianza kujifua na kikosi hicho huku akionekana kuanza kwa kasi baada ya kuinogesha sehemu ya ushambuliaji ya timu hiyo mazoezini.

Tambwe alifanya uamuzi wa kushtukiza Jumatatu iliyopita baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja Yanga, kufuatia kusitishiwa mkataba wake na viongozi wa Simba.

Katika mazoezi hayo ya Yanga yaliyofanyika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Dar es Salaam, Tambwe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani