Hotuba ya JK yakuna wengi
KAULI nzito na thabiti ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete katika hotuba yake ya ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, juzi imewagusa wengi na kusifu huku wakisema imejaa busara, hekima na ukomavu wa hali ya juu wa kioungozi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo01 Aug
Hotuba ya Dk Shein yakuna wanaharakati
WANAHARAKATI wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia Zanzibar wameipongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ya kuvitaka vyombo vya sheria kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kwa wanawake na watoto.
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Hotuba ya Warioba yagusa wengi
11 years ago
Mwananchi07 May
Kamati Kuu CCM yakuna kichwa kuikabili Ukawa
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/4VsWZIs0BQg/default.jpg)
11 years ago
Bongo531 Jul
Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9
9 years ago
Bongo528 Sep
Dar kuna wasanii wengi wakali ila wengi hawana nidhamu — Producer T-Touch
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-sQz0jxSRF8E/VToKVAQTuGI/AAAAAAAAsiA/Zqy4QvTuJQY/s72-c/wema%2Bsepetu990.jpg)
PICHA YA WEMA SEPETU AKIWA HOSPITALI YASHUA WENGI. WENGI WAULIZA KAMA NDO AMEANZA MATIBABU YA KUPATA MTOTO
![](http://api.ning.com/files/nBD8FQWarq-4R4WFf5QoJ*rzQSw0U9KUDL31XKiP1mNjS1erGKSqtvZe1mZJKHS51JEut23QP6TvboUuWotlUSMi6vmJn78e/wemasepetu.jpg)
The socialite, The Actress kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatatizo la kutozaa kwa muda mrefu na angetamani siku moja kupata mtoto wamejitokeza madakatari wengi na kutaka kumtibu.Lakini kabla ya kuanza kumtibu amewapa angalizo kwamba wakati anaanza kutiwa akawa na mwenza wake kabisa ambae wwatukuwa wamekubaliana pale tatizo litakapokuwa limeisha tu basi mara moja waweze kupata mtoto..Hilo ndilo angalizo la Wema Sepetu ambae anatamani sana...
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi
Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.
Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%) wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...