Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hotuba ya Warioba yagusa wengi

>Uwasilishaji wa Rasimu ya Katiba katika Bunge Maalumu la Katiba jana uliteka hisia za wakazi wengi wa mjini hapa, baada ya kuacha shughuli zao na kuamua kufuatilia kupitia televisheni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Hotuba ya Warioba yamsikitisha Dovutwa

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Fahim Dovutwa, amesikitishwa na hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, kutokana na kulenga zaidi masuala ya utafiti wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shibuda akunwa na hotuba ya Warioba

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, John Shibuda, amemuunga mkono, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, kwa kusema hotuba yake imewafumbua macho Watanzania wengi. Akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

Hotuba ya JK yakuna wengi

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza mkutano wa chama hicho mjini Dodoma.KAULI nzito na thabiti ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete katika hotuba yake ya ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, juzi imewagusa wengi na kusifu huku wakisema imejaa busara, hekima na ukomavu wa hali ya juu wa kioungozi.

 

11 years ago

Mwananchi

Hotuba ya Warioba yazidi kugusa hisia

Baadhi ya wasomi na watu wa kawaida, wameunga mkono hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Jaji Joseph Warioba aliyoitoa bungeni mwanzoni mwa wiki hii, lakini wakitia shaka kama wajumbe wa Bunge hilo wataunga mkono.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe CCM waponda hotuba ya Jaji Warioba

Baadhi ya Wajumbe wa Bunge la Katiba ambao ni wanachama wa CCM, wamepinga Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwa maelezo kuwa haiwakilishi maoni ya Watanzania walio wengi.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuache kujadili hotuba za JK, Warioba tuboreshe Rasimu

>Wiki ya Machi 18 - 22, 2014, mwenyekiti Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba aliwasilisha Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Bunge la Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge sasa kujadili hotuba za Rais, Warioba

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimwapisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (kulia) kuwa Mjumbe wa Bunge hilo, bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).HOTUBA iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete pamoja na ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba zitajadiliwa bungeni baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuridhia ombi hilo lililotolewa na baadhi ya wajumbe.

 

9 years ago

Michuzi

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani