Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hotuba ya Mwenyekiti wa CCM inaweza kuwa ni hofu ya uchaguzi Mkuu

Februari Mosi, CCM ilisherehekea miaka 38 tangu kaunzishwa kwake. Hiki ni kipindi kirefu na kama ni umri wa mtu, huyu si mtoto tena, bali ni mtu mzima anayepaswa kuwajibika katika maisha yake na maisha ya wenzake katika jamii anamoishi

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Mwenyekiti Wa CCM Taifa Mhe. Jakaya Kikwete kufunga Mkutano Mkuu wa chama 2015

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Mwenyekiti wa CCM Taifa akifunga mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika Dodoma.
Ni katika mkutano huu ambapo chama hicho kilimchagua Dr John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM
Hii inakuwa mara ya mwisho kwa Mhe Kikwete kuwahutubia wajumbe wa mkutano huo akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

StarTV

Kuelekea uchaguzi mkuu, KKKT yaingiwa hofu.

Na Zephania Renatus,

Moshi.

 

Wakati Taifa likielekea katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT limeeleza hofu yake ya kupatikana kwa viongozi bora   watakaokuwa chaguo la watanzania walio wengi.

 

Hofu hiyo imekuja baada ya madai ya kuwepo kwa maandalizi hafifu ya uboreshaji wa daftari la wapiga kura pamoja na upatikanaji wa katiba pendekezwa kwa wananchi ambayo inaelezwa kutowafikia wananchi walio wengi ili waweza kuisoma na kuielewa...

 

10 years ago

Raia Mwema

CCM imeingiwa hofu, Magufuli kuwa shughuli

KUNA hofu imetanda ndani ya CCM; hofu ambayo inajaribu kufichwa mapema kwani kama mambo hayatobad

Lula wa Ndali Mwananzela

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Dr Ali Mohamed Shein kukubali kuwa mgombea wa CCM 2015

Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe Dk Ali Mohamed Shein akihutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm 2015 huko Dodoma wakati akikubali ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

AUDIO za hotuba mbalimbali kwenye mkutano mkuu wa CCM

IMGL0622

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama, wakati wa kuufunga Mkutano huo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Conveition Centre), uliopo Mjini Dodoma.

Hotuba Ya Dr Ali Mohamed Shein kukubali kuwa mgombea wa CCM Zanzibar 2015

Hotuba Ya Dr Asha – Rose Migiro kukubali yatokeo ya mkutano Mkuu wa CCM 2015

Hotuba Ya Balozi Amina Salum Ali kukubali matokeo ya mkutano mkuu wa CCM 2015

Hotuba Ya Dr John Pombe Magufuli...

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI MSIWE NA HOFU,HAKUTAKUWA NA VURUGU UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA-MKUU WA MKOA IRINGA

Mkuu wa mkoa wa iringa DK CHRISTIN ISHENGOMA amewataka wananchi mkoani  Iringa,kutokuwa na hofu katika kipindi hiki cha kuelekea kampeni za uchaguzi wa jimbo la kalenga.
Akizungumza leo  kwenye moja ya kituo cha redio mjini humo,Nuru FM ,kupitia kipindi cha sunrisepower, amesema kuwa tayari ameshakaa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamanda wa Jeshi la Polisi,aidha ameongeza kuwa wamejiandaa kikamilifu katika ulinzi, hivyo wananchi wanapaswa kutokuwa na hofu.
Amesema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani