Huawei Y360, Kiki inayopewa inafanana na ubora wa simu husika?
Katika siku kadhaa zilizopita kumekuwa na matangazo kadhaa hasa kwenye mitandao ya kijamii juu ya simu mpya inayouzwa kwa ushirikiano wa makampuni mawili nguli ya mawasilino nchini. Huawei ambao ni watengenezaji wa simu kwa ushirikiano na Tigo.
Baadhi ya watu maarufu wamekua wakiizungumzia kwenye kurasa zao binafsi. Kama unavyooa Dina Maris hapo juu. Kama mtandao wa masuala ya teknolojia, nikaona si mbaya kama tutaitazama simu husika, ili kujua kama YALIYOMO YAMO.
Simu hii inauzwa shilingi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Oct
VIDEO: Tazama ubora wa simu ya Huawei Y360 ambayo gharama yake ni nafuu kabisa
10 years ago
MichuziKAMPUNIYA SIMU ZA MKONONI ZA HUAWEI WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA HUAWEI P8
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Kampuni ya Simu ya Tigo, Huawei wazindua simu ya watu wa hali ya chini jijini Dar
Meneja wa Vifaa vya Huawei, Peter Zhang Nchini (kulia), akionesha aina ya simu ya Huawei Y 360 na Y 625 ambazo zina uwezo wa hali ya juu katika matumizi ya nyanja mbalimbali wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam katika uzinduzi wa simu hizo. Kushoto ni Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga.
Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga, akizungumza katika mkutano huo.
Wanahabri kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa ya uzinduzi...
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO, HUAWEI WAZINDUA SIMU YA WATU WA HALI YA CHINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Dewji Blog24 Oct
Huawei P8 ni simu bomba
Katika soko la Tanzania zipo aina mbalimbali lakini kati ya hizo simu ya P8 iliyozinduliwa na kampuni ya Huawei mwaka huu ni moja ya simu bora ambayo ina kiwango cha hali ya juu.
Umbo la simu hii ni la kuvutia kiasi kwamba muda wote ninapokuwa naitumia kwenye kazi zangu najivunia kuwa na kifaa bora cha kisasa kinaconirahisishia kazi zangu za kupiga picha na kuandika habari.
Kinachonivutia zaidi katika simu hii ni kuwa na kamera yenye uwezo wa kurekodi video na kupiga picha zinazotoka kwa...
10 years ago
Vijimambo
KAMPUNI YA HUAWEI ILIVYOZINDUA SIMU YA P8



10 years ago
Michuzi.jpg)
HUAWEI yazindua simu mpya ya Ascend P8
.jpg)
KAMPUNI nguli sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano ya Huawei imezindua simu mpya aina ya Ascend P8 ikiwa ni muendelezo wa kampuni hiyo kuleta mapinduzi kwenye nyanja ya mawasiliano ulimwenguni. Akizungumza kwenye uzinduzi wa simu hiyo kimataifa uliofanyika kwenye jiji la London, Uingereza mwishoni mwa wiki, Afisa Mtendaji Mkuu wa Biashara wa kampuni hiyo, Bw....
10 years ago
Dewji Blog04 Jul
10 years ago
Michuzi
AIRTEL NA HUAWEI YAANZISHA BAZAAR LA SIMU ZA SMARTPHONE.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania ikishiriakiana na Huawei leo imetangaza kuanza Bazaar lake maalum litakalowawezeha watanzaniakujipatia simu za kisasa za Smart phone na kuweza kufurahia huduma zazote za intaneti kupitia mtandao wa Airtel
Bazaar la Airtel na Huawei limepangwa kufanyika kuanzia ijumaa,jumamosi na jumapili hii kuanzia saa 3asubuhu hadi saa moja usikukatika eneo la ndani la Mlimani City na litakuwa na muendelezohapohapo na baadae litazunguka...