Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Huduma ya Texi yasitishwa Ujerumani

Mahakama moja nchini Ujerumani imepiga marufuku huduma ya bei nafuu ya texi ya Uberpop kwa kuwa inakiuka sheria za uchukuzi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Maonyesho ya dereva wa texi Kenya

Msanii mmoja jijini Nairobi ameamua kuwaandama na kusimulia hadithi za madereva wa taxi kupitia picha .

 

10 years ago

Michuzi

DEREVA TEXI ALIYEPOTEA AKUTWA AMEKUFA

Na John Gagarini, Kibaha
BAADA ya dereva wa Texi Richard Ponera (36) mkazi wa Mwendapole wilayani Kibaha mkoani Pwani kupotea kwa siku nane amepatikana akiwa ameuwawa na kuporwa gari alilokuwa akiliendesha.
Marehemu ambaye alikuwa akifanyia shughuli zake kwenye kituo kikuu cha Mabasi cha Maili Moja wilayani humo alipotea Agosti 6 Mwaka huu majira ya saa 1 usiku alipokodishwa na watu wawili wasio fahamika waliojifanya kuwa ni wateja.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu...

 

11 years ago

Michuzi

DEREVA TEXI ATOWEKA KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA

Na John Gagarini,Kibaha.
DEREVA wa Texi wa Maili Moja Richard Ponera (36) mkazi wa Mwendapole wilayani Kibaha mkoani Pwani amepotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukodishwa na watu wasiofahamika.
Ponera alikodishwa na watu wawili ambao hawakufahamika  Agosti 5 mwaka huu majira ya saa 2:30 usiku akiwa anaendesha gari lenye usajili na T 905 BHT aina ya Corolla nyeupe.
Akizungumza na mjini Kibaha kuhusina na tukio hilo katibu wa Umoja wa madereva Texi Kibaha Mjini (KITAGURO) Fadhil...

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa yasitishwa

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (Nemc), imesitisha ubomoaji wa nyumba zilizojengwa katika Bonde la Mto Msimbazi ili kuwapa nafasi wakazi kuhama na kuokoa mali zao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi dhidi ya Houthi yasitishwa

Majeshi ya muungano yakiongozwa na jeshi la Saudi Arabia yamesitisha mashambulizi yake ya angani nchini Yemen, baada ya kuanza muafaka wa amani wa kusitisha mapigano.

 

11 years ago

BBCSwahili

Shuguli ya kuitafuta MH370 yasitishwa

Mamlaka ya usalama wa safari za baharini Australia yasema mawimbi makali pamoja na mvua kubwa inayonyesha imevuruga shughuli hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi Jamii yasitishwa Kariakoo

>Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imesimamisha shughuli zinazofanywa na Polisi Jamii baada ya kubainika kuwapo kwa vitendo vya wizi katika maeneo ya Kariakoo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya uchaguzi yasitishwa Zambia

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Zambia, Bi Irene Mambilima jana alisitisha zoezi la kutoa matokeo ya uchaguzi mkuu .

 

9 years ago

Global Publishers

Bomoabomoa yasitishwa Dar es Salaam

1Mawakili wa upande wa serikali na walalamikaji wakiandaa nakala zao kabla ya madai hayo kusikilizwa.2Wakazi wa Kinondoni wakipongezana baada ya kupokea taarifa za kusitishwa kwa bomoabomoa kwenye makazi yao.

3 Askari wakidumisha usalama.

MAHAKAMA ya Ardhi jijini Dar imesimamisha zoezi la bomoabomoa iliyowakumba wakazi maeneo ya mabondeni wa Wilaya ya Kinondoni baada ya wakazi hao kufikisha ombi hilo mahakamani hapo mapema wiki iliyopita.

Ombi hilo lilitokana na malalamiko ya wakazi wengi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani