Shuguli ya kuitafuta MH370 yasitishwa
Mamlaka ya usalama wa safari za baharini Australia yasema mawimbi makali pamoja na mvua kubwa inayonyesha imevuruga shughuli hiyo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili02 May
Itachukua mwaka kuitafuta ndege ya Malaysia
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Malaysia kuitafuta ndege iliyopotea tena
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DqaYw0w2aP8foRkCOeqdd2DOFNoVqzMWWoZ7F00Qia9LJArtTT3Z9icxU0yJ680WTjQWyQ*STrZTlTWc7ZUZ*qygUHULCgHD/MELI.jpg)
ZOEZI LA KUITAFUTA NDEGE YA MALAYSIA LASITISHWA
10 years ago
Dewji Blog15 Jan
Mmiliki wa kiwanda cha viatu (WOISO) aelezea mafanikio yake kupitia shuguli ya ushonaji viatu
Mmiliki wa Kiwanda cha Viatu WOISO kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam ,Bw Kenneth Herman (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea mafanikio yake alioyapata kupitia shuguli za kushona viatu na kuweza kumiliki Kiwanda cha Viatu na kuwaajili watu zaidi ya 2,50. Kwenye kiwanda hicho (kushoto), Msimazi wa Kiwanda hicho Bi.Teya Herman.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).
Wafanyakazi wa kiwanda cha WOISO wakiwa kazini.
Eliza Hamad, akiwa na mfanyakazi mwezie Bw.Hilari Kimario...
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Bomoabomoa yasitishwa
9 years ago
Habarileo08 Nov
Matumizi ya picha ya Rais yasitishwa
SERIKALI imesitisha matumizi ya picha ya Rais wa Awamu ya Tano, John Magufuli katika ofisi za umma na wananchi kwa ujumla.
10 years ago
BBCSwahili21 Mar
Huduma ya Texi yasitishwa Ujerumani
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Matokeo ya uchaguzi yasitishwa Zambia
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Bomoabomoa yasitishwa Dar es Salaam
Mawakili wa upande wa serikali na walalamikaji wakiandaa nakala zao kabla ya madai hayo kusikilizwa.
Wakazi wa Kinondoni wakipongezana baada ya kupokea taarifa za kusitishwa kwa bomoabomoa kwenye makazi yao.
Askari wakidumisha usalama.
MAHAKAMA ya Ardhi jijini Dar imesimamisha zoezi la bomoabomoa iliyowakumba wakazi maeneo ya mabondeni wa Wilaya ya Kinondoni baada ya wakazi hao kufikisha ombi hilo mahakamani hapo mapema wiki iliyopita.
Ombi hilo lilitokana na malalamiko ya wakazi wengi...