Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malaysia kuitafuta ndege iliyopotea tena

Malaysia imeanza awamu nyingine ya kuisaka ndege yake iliyopotea MH-370 kusini mwa bahari ya Hindi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ZOEZI LA KUITAFUTA NDEGE YA MALAYSIA LASITISHWA

Meli ya Australia ikiwa kwenye zoezi la utafutaji wa ndege ya Malaysia iliyopotea kabla ya zoezi hilo kusitishwa. Mmoja wa ndugu wa abiria waliokuwemo kwenye ndege iliyopotea akilia kwa simanzi baada ya taarifa kuwa ndege hiyo ilianguka kusini mwa bahari ya Hindi. IDARA ya usalama wa baharini ya Australia imetangaza kwamba shughuli za kuitafuta… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Itachukua mwaka kuitafuta ndege ya Malaysia

Maafisa wanaoongoza juhudi za kuitafuta ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea wamesema kuwa shughuli ya kuitafuta huenda ikachukua hadi mwaka mmoja.

 

11 years ago

GPL

SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI

Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur.  Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Ndege ya MH370 ya Malaysia iliyopotea,ilibadili mkondo


Ndege ya Malaysia iliyotoweka Mkuu wa jeshi la anga la Malaysia, amekanusha madai kuwa ndege ya Malaysia iliyotoweka, ilionekana mara ya mwisho Magharibi ya rasi ya nchi hiyo, eneo ambalo ni mbali zaidi na njia iliyostahili kupita.

Generali Rodzali Daud, amesema kuwa hawawezi kupuuza uwezekano huo, lakini amesema madai kuwa mawasiliano ya ndege hiyo yalinaswa na mtambo wa radar katika eneo hilo sio kweli.
Amesema mawasiliano ya mwisho ya ndege hiyo iliyokuwa ikitoka Kuala Lumpur kuelekea...

 

11 years ago

GPL

MAMBO SITA USIYOYAFAHAMU KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA

Kuna mambo ambayo watu hawajafahamishwa kuhusu ndege ya shirika la ndege la Malaysia (Malaysia Airlines) safari namba Flight 370 ambayo imepotea ikiwa eneo la juu ya bahari katika Ghuba ya Thailand na watu 239. Ndege hiyo aina ya Boeing 777  iliyopotea Jumamosi asubuhi wiki iliyopita na kutoonekana mpaka leo imewababaisha wataalam wengi duniani wa mambo ya usalama wa vyombo vya anga. Hata hivyo, pamoja na mkanganyiko huo,...

 

11 years ago

GPL

CHINA YASEMA IMEONA KITU KATIKA BAHARI YA HINDI KINACHODHANI NI MABAKI YA NDEGE ILIYOPOTEA YA MALAYSIA

Picha iliyotolewa na vyombo vya habari vya China vikionyesha kitu kipya kilichogunduliwa na satellite za nchi hiyo kikielea katika Bahari ya Hindi ambacho kinahisiwa huenda kikawa na uhusiano na ndege ya Malaysia iliyopotea. Picha za Satellite kutoka kituo cha utafiti cha Marekani kikionyesha eneo ambako msako…

 

11 years ago

GPL

SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000

Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice. Wataalamu wa Rada wakiwa wamepigwa picha ndani ya ndege ya Kijeshi ya New Zealand wakiwa katika msako wa chombo hicho kilichopotea Kusini mwa bahari ya…

 

11 years ago

GPL

PICHA SI ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA - MAOFISA WA MALAYSIA

Waziri wa ulinzi Hishammuddin Hussein (katikati) akikanusha madai ya ndege kukaa masaa manne hewani kabla ya kupotea.…

 

10 years ago

StarTV

Ndege iliyopotea, Utafutaji waendelea.

Zoezi la anga na majini la utafutaji wa ndege ya AirAsia aliyoanguka ikiwa na watu 162 baada ya kuwepo kwa dhoruba katika pwani ya eneo la Borneo siku ya jumapili imeendelea.

Maafisa wa Indonesia wanasema japo zoezi hilo limeendelea lakini linakabiliwa na upinzani kutokana na hali mbaya ya hewa.

Kufuatia kupatikana kwa vipande vya mabaki ya ndege hiyo siku ya jumannne, kiongozi wa taasisi ya uokoaji na utafutaji amesema miili mitatu imepatikana hadi sasa kutoka katika eneo la bahari ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani