HUJACHELEWA JIUNGE SASA NA KILIMO CHA PARACHICHI

Ndugu Mtanzania mpenda Kilimo, tunapenda kukueleza kuwa zao la Parachichi hivi sasa ni KIINUA MGONGO CHA MILELE, hivyo wajanja wa Kilimo wanakimbilia kuwekeza kwenye zao hilo ambalo kwa hivi sasa limekuwa mkombozi, kwani ukilima kwa njia ya kisasa heka moja yenye miche 81 unaweza kutia kibindoni zaidi ya sh. mil. 10 kwa mwaka wa kwanza wa mavuno na sh. Mil. 15 hadi 20 kwa mwaka wa pili wa mavuno.
.
Kampuni ya Esemwa Business Solutions LTD, inakaribisha wadau wanaopenda kuwekeza katika...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
HUU NDIO MSIMU WA KILIMO CHA PARACHICHI HUJACHELEWA NJOO UJIUNGE

.
Kampuni ya Esemwa Business Solutions LTD, inakaribisha wadau wanaopenda kuwekeza...
5 years ago
Michuzi
WAKULIMA WAASWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KILIMO CHA PARACHICHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akipata maelezo kuhusu mitambo inayotumika kutengeneza na kusaga zao la parachichi kutoka kwa Meneja Uzalishaji wa kiwanda cha Olivado Bw. Ngukula Lihuluku wakati wa ziara yake katika kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe.

10 years ago
GPL
11 years ago
GPL
JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS SASA!
11 years ago
Michuzi06 Jul
Michuzi TV IPO HEWANI...JIUNGE SASA - You'll love it!
JIUNGE HARAKA UPATE MAMBO MOTOMTO!!TUNAANZIA NA WATEJA WA VODACOM, AMBAO WANAKARIBISHWA KUPIGA *149*01# KISHA CHAGUA NAMBA 4 SIMU.tv (MPYA) HALAFU NENDA NAMBA 1. Habari (BURE), BAADA YA HAPO CHAGUA NAMBA 5 Michuzi TV (BURE) KISHA KUBALI...UNAKUWA UMESHAJISAJILI KWA HUDUMA HII MPYA. LIBENEKE OYE!
11 years ago
GPL
10 years ago
Vijimambo16 Apr
MATEMBEZI YA SARATANI KUFANYIKA MAY 9 WASHINGTON, DC JIUNGE SASA UWAKILISHE TIMU TANZANIA
> REGISTER and choose “Join a Team.”
I started a team because it is the best way to experience one of the best Races in the area

Welcome to the Susan G. Komen Global Race for the Cure. Learn more about the event....
5 years ago
Michuzi
WANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA
Na Pamela Mollel, Arusha.
KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5 ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira
Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...
11 years ago
Michuzi19 Mar
WARSHA YA UBORESHAJI WA KILIMO CHA APPLES MAKETE KWA MAAFISA KILIMO YAFUNGULIWA