Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JIUNGE NA KILIMO KLUB KUTOKA VODACOM

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vodacom Inakuletea Kilimo Klub

Kufahamu zaidi bofya https://www.vodacom.co.tz/vas/services/kilimo-klub

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yaipongeza Vodacom kwa kuanzisha huduma ya Kilimo Klub

Naibu waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mheshimiwa Godfrey Zambi amezitaka taasisi na mashirika binafsi nchini kubuni mbinu za kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo nchini hususani kuwaendeleza wakulima wadogo ambao idadi yao kubwa wanaishi maeneo ya vijijini.  Mheshimiwa Zambi ametoa wito huo jana wakati akifungua kongamano la simu moja la Kilimo Klub lililoandaliwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania na alisema kuwa kuna idadi kubwa ya wakulima wanaishi katika umaskini...

 

10 years ago

GPL

VODAFONE YAZINDUA MPANGO WA KILIMO KLUB KUWAKOMBOA WAKULIMA WADOGO

Mtama ukiwa umestawi vizuri katika moja ya shamba, hivi leo Kampuni ya mawasiliano ya Vodafone imezindua mpango  maalumu  wa kuboresha maisha ya wakulima wadogo wa Kilimo Klub utakaoanza kutekelezwa Tanzania. Zabibu zikiwa zimestawi vizuri katika moja ya shamba Dodoma vijijini kufuatia kilimo bora na cha kisasa, kilimo hichi kinaongezewa nguvu na kampuni ya Vodafone.… ...

 

5 years ago

CCM Blog

HUJACHELEWA JIUNGE SASA NA KILIMO CHA PARACHICHI


Ndugu Mtanzania mpenda Kilimo, tunapenda kukueleza kuwa zao la Parachichi hivi sasa ni KIINUA MGONGO CHA MILELE, hivyo wajanja wa Kilimo wanakimbilia kuwekeza kwenye zao hilo ambalo kwa hivi sasa limekuwa mkombozi, kwani ukilima kwa njia ya kisasa heka moja yenye miche 81 unaweza kutia kibindoni zaidi ya sh. mil. 10 kwa mwaka wa kwanza wa mavuno na sh. Mil. 15 hadi 20 kwa mwaka wa pili wa mavuno.
.
Kampuni ya Esemwa Business Solutions LTD, inakaribisha wadau wanaopenda kuwekeza katika...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA AONANA NA WATAFITI KUTOKA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO UYOLE MBEYA KUJADILI KUINUA KILIMO CHA NGANO MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza na watafiti kutoka taasisi ya Utafiti wa Kilimo Uyole iliyopo Mkoani Mbeya walipomtembelea ofisini kwake leo kutambulisha mpango wa SARD (Strategic Agriculture Reseach Development) unaodhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB (Africa Development Bank). Mpango huo una lengo la kupunguza utegemezi wa chakula nchini kwa kuongeza uzalishaji wa vyakula mbalimbali ikiwemo zao la ngano ambalo ni sehemu ya mradi huo Mkoani Rukwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Teknolojia ya GMO katika kilimo: Tujifunze kutoka Uganda

>Wanasayansi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki wamekuwa wakitafiti juu ya uwezekano wa kutumia teknolojia ya Uhandisi Jeni (GMO) katika kilimo.

 

11 years ago

Michuzi

WASHINDI WAENDELEA KUCHUKUA BODABODA ZAO KUTOKA VODACOM

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim akifafanua jambo kwa mmoja wa washindi wa Bodaboda Amanzi Mohamed kutoka Bagamoyo wakati wa zeozi la washindi hao kuchukua bodaboda hizo Makao Makuu ya kampuni hiyo Jijini Dar es salaam.Washindi hao ni wa Promosheni ya Timka na Bodaboda iliyomalizika hivi karibuni. Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim akifurahi na Mama Domotila Charles akikwaa bodaboda yake tayari kuiwasha na kuondoka nayo kutoka Makao Makuu ya...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM KUWAPATIA WATEJA WAKE MUZIKI WA KIDIGITALI KUTOKA DEEZER

Kampuni maarufu ya kuuza muziki kwa njia ya digitali inayojulikana kama Deezer, imeingia ushirikiano na kampuni ya Vodacom ambapo wateja wa Vodacom wataweza kupakua muziki katika maktaba kubwa ya muziki ya kampuni hiyo yenye nyimbo zaidi ya milioni 35.
Deezer ni kampuni kubwa ya kuuza muziki kwa njia ya kidigitali nchini Afrika ya kusini.Katika kusherehekea ushirikiano huu na Vodacom wateja wapatao 17 milioni wa Vodacom watajipatia offer ya kipindi cha mwezi mmoja ya kupakua bure muziki wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani