Serikali yaipongeza Vodacom kwa kuanzisha huduma ya Kilimo Klub
Naibu waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mheshimiwa Godfrey Zambi amezitaka taasisi na mashirika binafsi nchini kubuni mbinu za kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo nchini hususani kuwaendeleza wakulima wadogo ambao idadi yao kubwa wanaishi maeneo ya vijijini. Mheshimiwa Zambi ametoa wito huo jana wakati akifungua kongamano la simu moja la Kilimo Klub lililoandaliwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania na alisema kuwa kuna idadi kubwa ya wakulima wanaishi katika umaskini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVodacom Inakuletea Kilimo Klub
10 years ago
GPL10 years ago
Michuzi10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Hongera Serikali kwa kuanzisha benki ya kilimo
SERIKALI hivi karibuni imetangaza kuanzisha benki maalumu ya maendeleo ya kilimo.
Benki hiyo inajulikana kwa jina la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Benki hiyo bado haijaanza kazi ikisubiri kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hata hivyo, imekwisha kuanza mchakato wa kutafuta wafanyakazi watakaotoa huduma.
Kwa mujibu wa serikali, pamoja na mambo mengine madhumuni makuu ya kuanzishwa kwa benki hii ni kurahisisha upatikanaji wa mikopo katika sekta ya kilimo ili...
5 years ago
MichuziSERIKALI KUANZISHA KLINIKI SHIKIZI NNE ZA KUTOLEA HUDUMA ZA METHADONE KWA WAATHIRIKA WA DAWA ZA KULEVYA
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto iko mbioni kuanzisha huduma shikizi za tiba ya methadone kwa waathirika wa madawa ya kulevya ya Heroine.
Hayo yamesemwa na Dkt. Erasmus Mndeme Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Rufaa ya Kitaifa ya Magonjwa ya Akili - Milembe alipokuwa akiwasilisha taarifa ya huduma za tiba kwa waathirika wa madawa ya kulevya kupitia dawa ya methadone na utekelezaji wa majukumu ya Kituo cha kuhudumia...
5 years ago
MichuziSERIKALI KUANZISHA KLINIKI SHIKIZI NNE ZA KUTOLEA HUDUMA ZA METHADONE KWA WAATHIRIKA WA MADAWA YA KULEVYA
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto iko mbioni kuanzisha huduma shikizi za tiba ya methadone kwa waathirika wa madawa ya kulevya ya Heroine.
Hayo yamesemwa na Dkt. Erasmus Mndeme Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Rufaa ya Kitaifa ya Magonjwa ya Akili - Milembe alipokuwa akiwasilisha taarifa ya huduma za tiba kwa waathirika wa madawa ya kulevya kupitia dawa ya methadone na utekelezaji wa majukumu ya Kituo cha kuhudumia...
5 years ago
MichuziSERIKALI KUANZISHA MFUKO MAALUM WA KILIMO
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akizungumza na vijana mjini Chato leo.
Sehemu ya washiriki wa kongamano la vijana Chato
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema wizara ya kilimo inakusudia kuanzisha mfuko maalum kwa ajili kusimamia maendeleo ya mazao ya pamba,tumbaku na korosho.
Ametoa kauli hiyo leo mjini Chato alipokuwa akizunguzma kwenye kongamano la...
5 years ago
MichuziVIJANA WAOMBA SERIKALI KUANZISHA VIJIJI VYA KILIMO
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiongoza majadiliano wakati wa kongamano la vijana kujadili fursa za kilimo mifugo na uvuvi kwa mikoa ya Tabora,Singida,Dodoma na Kigoma katika ukumbi wa Mtemi Isike Mwanakiyungi leo mjini Tabora. Kijana Raphael Malongo( kushoto) toka mkoani Singida akitoa ushuhuda wa mafanikio aliyoyapata baada ya mafunzo kwa vitendo toka nchini Benin yaliyomwezesha kuanzisha kilimo biashara na kuajili vijana wenzie Singida.Kulia ni Mwezeshaji wa kongamano...
10 years ago
GPLVODAFONE YAZINDUA MPANGO WA KILIMO KLUB KUWAKOMBOA WAKULIMA WADOGO