Hundreds Mourn the Late Mhita
Hundreds Mourn the Late Mhita
AllAfrica.com
GOVERNMENT leaders, politicians and hundreds of city dwellers turned up yesterday to pay their last respects to the former Director General of Tanzania Meteorological Agency (TMA), Dr Mohamed Mhita, who passed away last Monday at TMJ Hospital in ...
AllAfrica.com
Habari Zinazoendana
10 years ago
Daily News06 Feb
Angry mob lynches Dodoma killer as hundreds mourn slain policeman
Daily News
ANGRY residents here lynched a man suspected to have butchered a policeman at Chang'ombe Juu suburb in this designated capital on Wednesday. The lynched person, Tissi Mallya, reportedly killed the policeman, G7168 Corporal Joseph Swai, who had ...
10 years ago
Uhuru Newspaper08 Apr
Dk. Mhita afariki dunia
NA MWANDISHI WETU ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA),Dk. Mohamed Mhita, amefariki dunia. Dk. Mhita ambaye pia ni mume wa Mbunge wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita, anatarajiwa kuzikwa leo baada ya kuwasili kwa mkewe, aliyeko India kwa matibabu. Akizungumza na waandishi wa habari, mtoto wa marehemu, Muhaji Mhita alisema baba yake aliugua maralia, Jumatatu alfajiri na kupelekwa hospitali, ambapo alifariki usiku. Alisema walipofika hospitali walibaini kuwa shinikizo la...
10 years ago
Mtanzania08 Apr
Dk. Mhita afariki Dunia Dar es salaam
Patricia Kimelemeta
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa(TMA), Dk Mohamed Mhita amefariki Dunia juzi katika Hospitali ya Agha Khan baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, mtoto wa marehemu, Muhaji Mhita alisema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na malaria na alipelekwa hospitalini hapo kwa ajili ya matibabu.
Alisema wanatarajia kuzika leo baada ya kuwasili kwa mke wa marehemu, Mbunge wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita...
10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Mboni Mhita afunguka, apongezwa kila kona
Mboni Mhita.
Na Andrew Chale wa modewji blog
Mteule wa Rais kwa nafasi ya ukuu wa Wilaya, iliyotangazwa juzi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, mwanadada mtetezi wa wanyonge, vijana na watu mbalimbaali ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa UVCCM – Taifa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Mboni Mhita ametoa kauli kwa mara ya kwanza huku akimshukuru Mungu kwa hatua aliyofikia.
Siku moja kabla, Mtandao huu ulikuwa ukutane na Mboni Mhita juu ya kufanya naye mahojiano maalum hata hivyo,...
11 years ago
GPLMBONI MHITA ATINGA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LTD
10 years ago
Mwananchi18 Jul
Makamba naye aibukia jimboni, DC Mhita achukua Handeni
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3c*KzWqU-pKbicRV1urYjkS7J6LDLXNnoIjdSlVNt8nmPL-BorukuvaBlrRI2jDq1H*qW2WvMTEYsR88dvBEErz/mboni7.jpg?width=650)
MBONI MHITA: SUGU ALIKUJA CCM, AKATAKA UBUNGE TUKAKATAA!
10 years ago
Michuzi13 Nov
makamu mwenyekiti wa UVCCM Mboni Mhita atembelea ubalozi wetu marekani
![](https://2.bp.blogspot.com/--TFWvFBFA_8/VGUOggf6KQI/AAAAAAAGxDA/4LfXF1i-AX0/s640/unnamed%2B(41).jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-ssNNX_rSGnM/VGUOgxunzGI/AAAAAAAGxDE/MzmQyqsm2kE/s640/unnamed%2B(42).jpg)
10 years ago
Dewji Blog31 May
DC Mhita awahamasisha wanawake Mufindi kugombea nafasi za Udiwani, Ubunge na Uraisi
![](http://3.bp.blogspot.com/-IX900rs5XnY/VWnT1J_wx8I/AAAAAAAB9Y4/plxeS1RrqTc/s640/DSC_0263.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-uANnM64RMMY/VWnSOHczWtI/AAAAAAAB9YI/KV9kPhAU4dc/s640/DSC_0242.jpg)