Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUU NDIO WIMBO ATAKAOINGIA NAO PACQUIAO ULINGONI SIKU YA MAY 2 KUOMYESHANA KAZI NA MAYWEATHER

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Usikie wimbo wa Pacquiao atakaoingia nao siku ya pambano lake na Mayweather

Manny Pacquiao hataki kuingia na wimbo wa msanii mwingine siku atakayopanda ulingoni kuzichapa na Floyd Mayweather. Bondia huyo wa Ufilipino ametunga wimbo wake mwenyewe. Wimbo huo alioimba kwa hisia kali unawatia moyo moyo wafilipino waishio katika maisha magumu. Pambano lao litapigwa May 2 jijini Las Vegas.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather kupanda ulingoni septemba

Bondia Floyd Maywether atapanda tena ulingoni mwezi Septemba 12 mwaka huu kuzipiga na Andre Berto

 

10 years ago

Bongo5

Justin Bieber kuubeba mkanda wa Mayweather atakapoingia ulingoni Jumamosi hii

Justin Bieber ni shabiki namba moja wa Floyd Mayweather ndio maana ataubeba mkanda wa bondia huyo wakati atakapoingia ulingoni Jumamosi hii. Mayweather atapanda ulingoni siku hiyo kuzipiga na Manny Pacquiao. Kwa mujibu wa The Sun, Bieber ataongoza msafara wa Mayweather wakati utakapopanda kwenye ulingo wa MGM Grand. Chanzo kimoja kimeliambia gazeti hio: As long as […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather na Pacquiao wakosolewa

Mabondia mashuhuri wa zamani wa Kenya, Steve Muchoki na Muhammad Abdallah Kent, wamewakosoa Floyd Mayweather na Manny Paqcuiao

 

10 years ago

BBCSwahili

Pacquiao na Mayweather kuzichapa?

Lile pambano la masumbwi la uzito wa welterweight linalosubiriwa kwa hamu kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao limeiva.

 

10 years ago

GPL

MAYWEATHER VS PACQUIAO NANI BINGWA?

Mayweather na Pacquiao wakitambiana. Japo tayari ni tajiri, Mayweather ambaye jina lake la utani ni Money, atapokea zaidi ya dola milioni 150 na Pacquiao kama dola milioni 100.Ni Mayweather au Pacquiao Las Vegas? Pacquiao yeye ametoka jamii ya kimaskini huko Ufilipino na kuna wakati katika maisha yake ya utotoni aliwahi kulala njaa. Floyd Mayweather akipima uzito. Achilia mbali wanaoangalia kwenye TV, wengi wa mashabiki  huko...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather kuchapana na Pacquiao Mei 2

Bondia Floyd Mayweather ametaja tarehe 2 mwezi May mwaka 2015 kama siku ya pigano kati yake na Manny Pacquiao .

 

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather akubali kuzichapa na Pacquiao

Floyd Mayweather Junior ametangaza kuwa pigano na mwanamasumbwi raia wa ufilipino Manny Pacquiao litafanyika mjini Las Vegas Mei 2

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani