Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Huu ni ukiritimba wa kuficha taarifa

TAARIFA kwamba kuna Watanzania 175 wanaoshikiliwa katika magereza tofauti China baada ya kukutwa na makosa mbalimbali yakiwamo ya biashara ya dawa za kulevya si nzuri kwa taifa letu. Waziri Mkuu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SIMU TV: TAARIFA ZA HABARI USIKU HUU

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA TFF MUDA HUU


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi anashiriki katika kongamano la Fainali za Dunia kwa Wanawake zinazofanyika Vancouver- Canada kwa siku tatu kuanzia tarehe 3 - 5 Julai mwaka huu.Katika kongamano hilo Malinzi ameambatana na katibu mkuu wa Chama cha Soka la Wanawake Tanzania (TWFA), Amina Karuma.Kongamano hilo la soka la Wanawake linahudhuriwa na nchi 209 wanachama wa FIFA, ambapo hufanyika kila baada ya miaka minne, pindi zinapofanyika fainali za Dunia kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Nagu azitaka taasisi za fedha kuacha ukiritimba

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu amezitaka taasisi za fedha kuacha ukiritimba na rushwa katika utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo na wa kati.

 

11 years ago

Tanzania Daima

BUNGE LA UKIRITIMBA… Wingi wa CCM unameza maamuzi

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mujibu wa uwiano na mizania yake, limesheheni wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa jinsi ya kuathiri maamuzi yake. Wingi wa wabunge...

 

11 years ago

Mwananchi

Msanii anayeteswa na ukiritimba katika tasnia ya Bongofleva

Naumia sana naandika nyimbo nyingi lakini sipati nafasi ya kuzirekodi zote na ninazozirekodi inakuwa ngumu kuwafikia mashabiki kwa kuwa kusambaza kunahitaji pesa na wanaohusika kuzipiga redioni nao wanahitaji pesa,”anasema.

 

10 years ago

Bongo5

Madam Rita asema ukiritimba umewakwamisha wasanii kupiga hatua

Jaji wa mashindano ya Bongo Star Search (BSS), Madam Rita amesema ukiritimba uliopo kwenye mazingira yanayowazunguka wasanii wa muziki unakwamisha maendeleo yao. Akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye ukumbi wa hoteli ya Regency, Madam alisema wasanii wengi wanashindwa kufanikiwa kutokana na kushindwa kujikwamua wenyewe. “Kuna vitu hatuwezi kuvicontrol, huwezi kucontrol media na ukiritimba uliopo […]

 

11 years ago

Vijimambo

TAARIFA KAMILI KUHUSU JAMAA ATAKAYEIWAKILISHA TANZANIA KWENYE NYUMBA YA BIG BROTHER AFRICA MWAKA HUU

Mpiga picha, Idris ni mmoja wa wawakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mwaka huu.“Idris is a photographer from Tanzania, filled with positive energy. He admits to having a strategy, hoping that his fellow housemates will turn to him “when they want to be inspired or when they feel down,” wameandika BBA kumwelezea Idris. Bonyeza >hapahttp://bigbrotherafrica.dstv.com/video/631844/interview-with-idris< Kuangalia Video

 

10 years ago

GPL

MASTAA HODARI WA KUFICHA MIMBA

Hamida hassan
Kupata mimba ni jambo la heri na heshima kwa mwanamke. Mwanamke anaposhika mimba hujiona amekamilika lakini yule ambaye siku zinakwenda lakini kila akitega hanasi, hujisikia vibaya. Jennifer Kyaka 'Odama' akiwa na mwanaye. Hata hivyo, suala la ujauzito limekuwa likipokewa kwa hisia tofauti na mastaa wa Bongo. Wapo ambao wakipata mimba, dunia nzima itajua. Watajipiga picha na kuzitundika mtandaoni huku kila sehemu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani