Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Huu si Muungano bali mgongano

HAKUNA ubishi kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliodumu kwa zaidi ya miaka 50 umekuwa ukikumbwa na misukosuko kila wakati. Hivyo, hali hii hutukumbusha kuwa yanahitajika marekebisho katika baadhi ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mgongano huu wa mihimili ni hatari

Wiki hii tumeshuhudia mgongano wa mihimili mitatu ya nchi uliotokana na kitendo cha Jeshi la Polisi kumpeleka mahakamani mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wa chama hicho kwa madai ya kupanga njama za kukusanyika na baadaye kukusanyika na kufanya mkutano wa hadhara bila ya kibali.

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Muungano huu sawa, lakini ujibu maswali 7 ya Jaji Warioba

>Tangu aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akabidhi Rasimu ya Pili ya Katiba, kumekuwa na chokochoko, visa, matusi na  kejeli   kwa wajumbe wenzake hasa kwa sababu rasimu hiyo imependekeza muundo wa muungano wa Serikali tatu.

 

9 years ago

Dewji Blog

LIVE!! Rais Magufuli anahutubia Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania muda huu Dodoma!

AtAsHx0mz7O0Tc_h4QgsCehoPZ7046db0BrjpXfGltty

Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akihutubia Bunge muda huu kutoka Bungeni Dodoma.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh  Dk. John Magufuli anaelezea kuwa mambo yote vipolo atayatatua na kuifaya Tanzania kufikia malengo yake.

Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na suala la Katiba mpya ambayo amekili kuachiwa kiporo hivyo ataifanyia kazi ilikuikamilisha.

Suala la Muungano anaahidi kulifanyia kazi na kulitatua.

Awali:

Baada ya Rais kuingia Bungeni...

 

10 years ago

Habarileo

Sheria kudhibiti mgongano wa maslahi

MAPENDEKEZO ya Sheria mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi, miongoni mwa viongozi wa umma, yanatarajiwa kudhibiti viongozi wa umma kushiriki au kuendesha harambee na kutoa zawadi kubwa kubwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkapa: Mgongano wa masilahi utazamwe

Rais mstaafu, Benjamin Mkapa amesema tatizo la mgongano wa masilahi kwa viongozi na watumishi wa umma linahitaji kutazamwa kwa umakini ili kuleta usawa katika utoaji wa uamuzi wa jambo lolote, hasa linalowagusa wananchi.

 

10 years ago

GPL

BUSARA ZITUEPUSHE MGONGANO BUNGE LA KATIBA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge. KAMA ilivyo kawaida yangu, naomba nianze kwa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa uwezo wake wa ajabu ambao umetufanya mimi na wewe kukutana tena hapa katika ukurasa ambao ninaamini unapata mambo mengi sana muhimu yahusuyo nchi yetu. Nimesema na sitasita kurudia kila mara ninapopata nafasi, kukusihi sana kuhusu jinsi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu,...

 

11 years ago

Habarileo

Chenge ataka semina maeneo yenye hoja zenye mgongano

 Andrew ChengeKUTOKANA na mgongano uliojitokeza miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakati wa kujadili Rasimu ya Kanuni, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali, Andrew Chenge amependekeza kabla ya kujadili Rasimu ya Katiba, wajumbe wapewe semina kujadili maeneo yenye hoja zenye mgongano.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais ajiuzulu ni baada ya kikao kizito Dodoma kufuatia mgongano wa kimaslai ndani ya Chama

kkk

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Rais wa Chama cha Msalaba Mwekundu  Tanzania (Tanzania Red Cross Society-TRCS), Dk. George Nangale (pichani), kwa habari zilizotufikia chumba cha Habari cha Mo dewji blog ni kuwa amejiuzulu nafasi yake hiyo.

Habari hizo zilibainisha kuwa, Dk. Nangale tayari amewasilisha barua rasmi ya kujiuzulu huku akikabidhi vitu muhimu ikiwemo funguo ya gari ambayo alikuwa akiitumia kama Rais ama Mwenyekiti wa Chama, katika makao makuu ya Red Cross, Mikocheni Jijini Dar...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano

Leo nijikite katika kuongeza uelewa juu ya tofauti iliyopo kati ya mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Nchi yetu inatokana na muungano wa zilizokuwa nchi mbili huru kwa maana ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ambazo ziliwezesha kuundwa kwa nchi mpya, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani