Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUYU RECHO NI TATIZO!

Msanii na Sexy lady wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat ‘Recho’ akifanya vitu vyake jukwaani. Stori: Mayasa Mariwata na Denis Mtima Ni tatizo! Sexy lady wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat ‘Recho’ ametia fora baada ya kutinga kipensi kilichoonesha sawia maungo yake nyeti. ...Akizidi kufanya yake. Ishu hiyo ya aibu ilijiri kwenye Ukumbi wa Sun Ciro uliopo Ubungo, Dar… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SINA TATIZO NA MAWAZIRI MZIGO NINA TATIZO NA CCM

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. MFUMO wa uongozi serikalini unanitatiza. Kama Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye na Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana wanaweza kuwaona mawaziri kadhaa kuwa ni mizigo kabla kiongozi mkuu wa nchi Rais Jakaya Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa chama wanachokitumikia Nape na Kinana hajachukua hatua, nahisi kuna tatizo kubwa! Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tatizo la kutonufaika na madini, tatizo ni viongozi si wawekezaji’

Serikali imetakiwa kusimamia rasilimali za taifa katika hali ambayo itawanufaisha wananchi wote kwani mali hizo ni za wote.

 

10 years ago

Michuzi

TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.

Jaji mstaafu wa mahakama ya rufaa nchini tanzania mama EUSEBIA MUNUO  ambaye alikuwa ndiye mkufunzi katika mafunzo hayo yaliyoendeshwa leo jijini Dar es salaam  Rushwa ya ngono pamoja na matumizi mabaya ya madaraka yametajwa kuwa ni moja kati ya matatizo makubwa ambayo yamezidi kuweka mizizi nchini tanzania na kuwaadhiri wasichana wengi huku sheria ikishindwa kuweka wazi adhabu mahususi ili kuwabana wanaohusika katika swala hilo. Hayo yamesemwa leo jijini dare s salaam na Jaji...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

New Music: Recho — Naringa

Hii ni ngoma nyingine kutoka kwa Mwanadada Recho ambayo imetoka hivi karibuni imesambaa katika mitandao mingi Recho anasema hafahamu nani ameivujisha hii ngoma imefanyika katika Studio za Kiri Records ngoma inaitwa “Naringa”

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI YA RECHO INAUMA

Stori: Waandishi Wetu
HUKU makovu ya machungu ya kifo cha msanii wa filamu za Kibongo, Rachel (Sheila) Leo Haule ‘Recho’ yakiwa bado hayajakauka, Risasi Jumamosi linakupa simulizi yenye maumivu kuhusu marehemu huyo. Mchumba wa marehemu Saguda akilia kwa uchungu. Recho alifariki dunia Mei 27, mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi...

 

11 years ago

GPL

RECHO: NIMEACHA UTOTO

Stori: Gladness Mallya
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’, amefunguka kuwa ameona umri umeanza kumtupa mkono hivyo ameacha kufanya matukio ya kitoto ambayo alikuwa akiyafanya kipindi cha nyuma. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’. Pasipo kuainisha matukio ya utoto aliyoyafanya, Recho alisema:
“Nimekua sasa, yale mambo ya kitoto tupa kule sasa naangalia zaidi...

 

10 years ago

Bongo5

I’m still very single — Recho Kizunguzungu

Recho is single and ready to mingle guys. Akiongea na Bongo5 hivi karibuni, Recho amedai kuwa bado hajampata mwanaume anayeweza kumuita wake na ambaye huenda wanaweza kuzaa watoto pamoja. “Bado nipo single, nafanya kazi kwanza, wanaume wapo,” alisema Recho baada ya kicheko kirefu. Recho anaamini kuwa ni rahisi kwa msichana mrembo na staa kama yeye […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani