Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IDDI SIMBA AZIKWA LEO

  Msemaji wa Familia ya Marehemu Idd Simba, Ahmed Simba, amesema kuwa mwili wa Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, utapumzishwa katika makaburi ya Mwinyi Mkuu Magomeni, lengo likiwa ni kumpumzisha mahali ambapo Baba zake wote walizikwa.

"Safari ilianzia Msasani nyumbani kwake, nakuondoka na mwili mpaka Msikiti wa Manyema uliposwaliwa kisha kuelekea Magomeni na kuzikwa katika makaburi ya Mwinyi Mkuu, amezikwa kule kwa sababu Baba zake wote wamezikwa hapo" amesema Ahmad.

Waziri wa zamani wa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Sheikh Ali Mzee Comorian azikwa leo kwenye Makaburi ya Wangazija,jijini Dar leo

NA CHALILA KIBUDA ,GLOBU YA JAMII DAR 
 Mamia ya watu wameshiriki katika mazishi ya Sheikh Ali Mzee Comorian yaliyofanyika leo katika makaburi ya Wangazija yaliyopo katika barabara ya Bibi Titi jijini Dar es Salaam. 
Mazishi hayo yameongozwa na Rais Mstaafu wa awamu ya pili ,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kusema kifo cha sheikh huyo ni mipango ya mungu kwa kila mtu safari yake ipo. 
Alisema kifo cha sheikh kinatakiwa kuenziwa kwa mema aliyoyafanya katika uhai wake katika kupigania...

 

10 years ago

GPL

SHEIKH ALI MZEE COMORIAN AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA WANGAZIJA, JIJINI DAR LEO

 Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa tatu kushoto),Waziri Mkuu Mstaafu,Dkt. Salim Ahmed Salim (wa nne kulia),Sheik Mkuu wa Tanzania,Shaaban Simba (wa pili kushoto) na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mussa Salum (wa tatu kulia) wakijumuika pamoja na Waombolezaji wengine kwenye ibada ya Mazishi ya Sheikh Ali Mzee Comorian,katika makaburi ya Wangazija mtaa wa Bibi Titi Mohamed,jijini Dar es salaam mapema...

 

5 years ago

CCM Blog

TANZIA: IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA

   Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Simba amefariki dunia leo.
Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga zinasema Iddi Simba amefariki katika Hospitali ya JKCI alipokuwa akipatiwa matibabu.

 

5 years ago

The Citizen Daily

Former Tanzania Cabinet minister Iddi Simba dies

Former Tanzania Cabinet minister Iddi Simba dies  The Citizen Daily

 

5 years ago

CCM Blog

CCM YAWALILIA IDDI SIMBA NA KANALI NSA-KAISI

Chama cha mapinduzi CCM kimepokea kwa huzuni taarifa za vifo vya viongozi wastaafu ndugu Iddi Mohamed Simba na Kanali Kabenga Nsa-Kaisi ambapo wote walihudumu kama viongozi wa ndani ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

 

5 years ago

Michuzi

TANZIA: MZEE IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM


Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara katika serikali ya Awamu ya Tatu Mzee Iddi Simba amefariki dunia leo asubuhi katika Tasaisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu, binti yake Sauda Simba amethibitisha.
Habari zaidi pamoja na mipango ya mazishi tutajulishana baada ya muda si mrefu

 

10 years ago

Vijimambo

MTOTO WA MWALIMU NYERERE AZIKWA LEO BUTIAMA

 Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma Mhashamu Michael Msonganzila akisali mbele ya jeneza la marehemu John Guido Nyerere kabla halijaingia kanisani kwa ajili ya ibada maalum iliyofanyika kwenye Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Damu Azizi ya Yesu Jimbo la Musoma Parokia ya Butiama. Viongozi na wananchi wakishiriki ibada ya kumuombea marehemu John Gaudo Nyerere katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Damu Azizi ya Yesu Jimbo la Musoma Parokia ya Butiama Askofu wa Kanisa Katoliki...

 

10 years ago

Michuzi

AISHA MADINDA AZIKWA LEO KIBADA,KIGAMBONI

WAKURUGENZI wa bendi hasimu za dansi Tanzania, African Stars, Asha Baraka na Extra Bongo, Ali Choki, leo wameongoza mamia ya waombolezaji kumzika aliyekuwa mnenguaji wa zamani wa bendi hizo, Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’.
Mazishi ya Aisha Madinda yamefanyika leo kwenye Makaburi ya Kijiji cha Mikwambe, Kigamboni jijini Dar es Salaam, baada ya kukwama kufanyika jana kutokana na zuio la Jeshi la Polisi, kupisha uchunguzi wa sababu za kifo cha ghafla cha mnenguaji huyo.
Baada ya uchunguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani