Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO WA MWALIMU NYERERE AZIKWA LEO BUTIAMA

 Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma Mhashamu Michael Msonganzila akisali mbele ya jeneza la marehemu John Guido Nyerere kabla halijaingia kanisani kwa ajili ya ibada maalum iliyofanyika kwenye Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Damu Azizi ya Yesu Jimbo la Musoma Parokia ya Butiama. Viongozi na wananchi wakishiriki ibada ya kumuombea marehemu John Gaudo Nyerere katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Damu Azizi ya Yesu Jimbo la Musoma Parokia ya Butiama Askofu wa Kanisa Katoliki...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

John Nyerere azikwa Butiama

Na Fredrick Katulanda, Butiama
ASKOFU wa Kanisa Katoliki jimbo la Musoma, Michael Msonganzila, ameongoza ibada ya mazishi ya mtoto wa nne wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, John Nyerere.

John alifariki dunia Mei 9 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Mahimbili, alipokuwa akipatiwa matibabu na jana alizikwa kijijini kwao Mwitongo wilayani Butiama, ambako viongozi mbalimbali wa taifa walihudhuria.

Miongoni mwa waliohudhuria mazishi hayo ni viongozi wa vyama vya siasa, wabunge huku Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu Martin David Msuguri wakati wa ibada ya kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Baba yake, Jenerali mstaafu David Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni 21.2015. Marehemu Martin alifariki Juni 19 mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo...

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA MWALIMU NYERERE AFARIKI DUNIA

John Nyerere (katikati) enzi za uhai wake. MTOTO wa nne wa Mwalimu J.K Nyerere, John Nyerere amefariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa. Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini Dar es Salaam na enzi za uhai wake alikuwa kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akiwa rubani wa kurusha ndege za kivita. Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni kwamba marehemu...

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara jana , aliposimama kwa muda akielekea kwenye mkutano wa kampeni wilayani huo leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya. Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akiweka shada la la maua alipozuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo wilayani Butiama,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere ni leo

Tanzania leo inaadhimisha miaka 15 tangu kufariki kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

 

11 years ago

GPL

MTOTO WA MSEMAJI WA IKULU, SALVATORY RWEYEMAMU AZIKWA LEO

Askari wakitoa mwili wa marehemu kitika gari. Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba jeneza la mwenzao. Brian enzi za uhai…

 

9 years ago

GPL

DK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara jana , aliposimama kwa muda akielekea kwenye mkutano wa kampeni wilayani huo leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya.
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akiweka shada la la maua alipozuru kaburi la Baba wa...

 

10 years ago

Michuzi

Leo ni siku ya kuzaliwa mwalimu julius kambarage nyerere

Kutoka maktaba: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na umri wa miaka 20 (wa tatu kulia waliokaa)  na wanafunzi wenzie wakiwa na Mwalimu Mkuu wa Tabora Boys Bw.  E.S Williams, mwaka 1942.  Mwalimu alizaliwa Aprili 13, 1922 na mwaka huu angekuwa na umri wa miaka 93.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani