John Nyerere azikwa Butiama
Na Fredrick Katulanda, Butiama
ASKOFU wa Kanisa Katoliki jimbo la Musoma, Michael Msonganzila, ameongoza ibada ya mazishi ya mtoto wa nne wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, John Nyerere.
John alifariki dunia Mei 9 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Mahimbili, alipokuwa akipatiwa matibabu na jana alizikwa kijijini kwao Mwitongo wilayani Butiama, ambako viongozi mbalimbali wa taifa walihudhuria.
Miongoni mwa waliohudhuria mazishi hayo ni viongozi wa vyama vya siasa, wabunge huku Waziri wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-a50MwCWYlXU/VVN6ULaaH1I/AAAAAAAAbsA/_Pf1wO3-Xo8/s72-c/1.jpg)
MTOTO WA MWALIMU NYERERE AZIKWA LEO BUTIAMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-a50MwCWYlXU/VVN6ULaaH1I/AAAAAAAAbsA/_Pf1wO3-Xo8/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-STOQIrWW5uo/VVN6WRYF8wI/AAAAAAAAbsM/MQvVTseQoDk/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1M6iZynaMHE/VVN6WZCFfII/AAAAAAAAbsI/qg2q-a8X8mE/s640/3.jpg)
10 years ago
Mtanzania11 May
John Nyerere kuzikwa Jumatano Butiama
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MTOTO wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, John Nyerere, anatarajiwa kuzikwa Jumatano hii kijijini kwao Mwitongo wilayani Butiama mkoani Mara, baada ya kukamilika kwa taratibu za mazishi.
John alifariki juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alipokua amelazwa baada ya kuugua maradhi ya mapafu na kisukari yaliyosababisha kifo chake.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwao marehemu Msasani jijini Dar es Salaam, mjukuu wa Mwalimu...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NefYiu42lUw/VYcyC2AKTkI/AAAAAAAHiPU/LpOGIUxkdUU/s72-c/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-NefYiu42lUw/VYcyC2AKTkI/AAAAAAAHiPU/LpOGIUxkdUU/s640/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'
9 years ago
GPLDK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'
10 years ago
MichuziPINDA AMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE KIJIJINI BUTIAMA
10 years ago
VijimamboRais Kikwete aifariji familia ya Nyerere kufuatia kifo cha John Nyerere
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo leo asubuhi nyumbani kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye John Nyerere kilichotokea hivi karibuni.Aliyesimama pembeni ya Rais ni mdogo wa marehemu Makongoro Nyerere.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-YllZww4Up88/VWczIVqfgyI/AAAAAAAAeDY/0i9b4xs7M1A/s72-c/1.jpg)
Urais 2015 kumekucha CCM: Makongoro Nyerere naye kutangaza nia Butiama
![](http://2.bp.blogspot.com/-YllZww4Up88/VWczIVqfgyI/AAAAAAAAeDY/0i9b4xs7M1A/s640/1.jpg)
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania ambaye pia ni baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ajulikanaye kama Makongoro Nyerere naye anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imebainisha kuwa Makongoro Nyerere atatangaza nia ya kugombea urais kupitia chama cha Mapinduzi ifikapo tarehe moja mwezi wa sita mwaka huu yaani siku ya jumatatu.
Makongoro nyerere ameungana na Waziri Prof. Mark...
10 years ago
GPL17 Feb