Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ifanye ndoa yako kuwa ya thamani

HABARI msomaji wa safu ya Urafiki na Mahusiano inayokujia kila Jumamosi. Matumaini yangu umzima. Nami nakukaribisha ili tuweze kwenda sambamba katika suala la maisha ya ndoa. Kila ndoa ina muda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SHOGA; MAMA YAKO ASIKUINGILIE KWENYE NDOA YAKO

Shoga, awali ya yote napenda kuwapongeza wote waliojitokeza katika zoezi la kupiga kura juzi kwani wameitumia vyema haki yao ya kidemokrasia kikubwa sasa kusubiri Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumtangaza mshindi wa kiti cha urais ili tuendelee na maisha yetu ya kawaida. Leo shoga yangu nimeona nizungumze nawe mwenzangu uliyeolewa kuhusiana na mama zetu ambao wametuzaa, kutulea, kutusomesha na hatimaye kutuozesha kwa waume zetu....

 

10 years ago

Mwananchi

Unajua kuwa sanaa yako inajumuisha maisha yako binafsi?

“Watu waangalie nini nafanya, burudani gani ninawapa lakini maisha yangu hayawahusu.”

 

10 years ago

Vijimambo

DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

· 
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...

 

11 years ago

GPL

NI RAHISI SANA KUIMARISHA NDOA YAKO!

ILI uwe na ndoa yenye furaha ni lazima utenge muda wa kutafakari namna ya kuiboresha na
kutafuta furaha ya ndoa hiyo. Ndugu zangu, kila kitu kinatengenezwa. Waswahili wanasema, ukiona vyaelea, ujue vimeundwa. Huwezi kuacha mambo yakajiendesha hovyo ukategemea kuwa na ndoa bora. Uhusiano imara unakutegemea wewe.
Kila mmoja ana wajibu wa kuangalia furaha ya mwenzake. Yapo mambo mengi muhimu ambayo kama
wanandoa wakiyafanya...

 

10 years ago

GPL

USIZIDISHE WIVU, UTAYUMBISHA NDOA YAKO

NAJUA, watu wengi wanakuambia ni lazima wawe na wivu kwa wenza wao kwa sababu hiyo ndiyo maana ya kupenda. Ninakubaliana nao, lakini siungani nao. Niko tofauti, sitaki kuwa na wivu na nitajaribu kueleza kwa kadiri ninavyoweza ili uweze kunielewa. Hii itakusaidia kwa sababu wengi wanadhani wakiwa na wivu ndiyo wataonekana wanapenda. Siyo kweli, kuna hasara nyingi kuwa na wivu kwa mwenza wako kuliko faida zilizopo kama utapunguza...

 

9 years ago

BBCSwahili

Je unataka ndoa yako iwe na mvuto?

Je ungependa kuwa na ndoa thabiti na yenye huba ? Jifunze kugawanya majukumu na mumeo ama mkeo hapo nyumbani.

 

9 years ago

Global Publishers

Marafiki wasishike ndoa yako, utajuta!

Vanessa3HABARI zenu wapenzi wasomaji wa kona hii, kama mnaendelea vema nashukuru kwa hilo, leo kungwi nimekuja kuwaasa akina mama wenye ndoa ambao mnajisahau kwa kudanganywa na marafiki.

Kumbuka marafiki wengine huwa hawapendi mema ya rafiki zao, shtuka mapema bibi ukiona mwenendo siyo achana na marafiki wabaya.Ndoa ni daraja, kama zima unatakiwa kulivuka, kama bovu pia unatakiwa kulivuka, kama ni bovu lifanyie ukarabati kwa sababu unatakiwa kuvuka.

Kwenye ndoa kuna misukosuko mingi ndiyo maana...

 

9 years ago

GPL

DUDE; USIINGIZE SANAA KWENYE NDOA YAKO

KWAKO Kulwa Kikumba ‘Dude’. Habari za siku ndugu yangu. Kitambo kidogo hatujaonana ana kwa ana, labda kwa kuwa wote tupo bize na ndiyo maana leo nimekukumbuka kupitia barua. Ukitaka kujua afya yangu, mimi sijambo. Hofu na shaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Vipi wanao wote hawajambo? Shemeji je?
Dhumuni la barua hii ni kutaka kukueleza kwamba nimeona tatizo katika maisha yako ya kawaida....

 

10 years ago

GPL

WEWE NDIYE MWENYE MPINI WA NDOA YAKO

KATI ya vitu vinavyochukua nafasi kubwa sana katika maisha ya wanadamu, wakivizungumza kila mara na hata kuomba ushauri, basi ni vile vinavyohusu mapenzi. Nimekuwa nikiandika mambo haya ya uhusiano na maisha, lakini asilimia kubwa ya ushauri ninaoombwa kutoka kwa watu mbalimbali ni juu ya kitu gani wafanye ili nyenendo zao za kimapenzi ziende sawa. Msichana ataomba ushauri juu ya nini afanye ili mvulana wake ampende na kijana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani