USIZIDISHE WIVU, UTAYUMBISHA NDOA YAKO
NAJUA, watu wengi wanakuambia ni lazima wawe na wivu kwa wenza wao kwa sababu hiyo ndiyo maana ya kupenda. Ninakubaliana nao, lakini siungani nao. Niko tofauti, sitaki kuwa na wivu na nitajaribu kueleza kwa kadiri ninavyoweza ili uweze kunielewa. Hii itakusaidia kwa sababu wengi wanadhani wakiwa na wivu ndiyo wataonekana wanapenda. Siyo kweli, kuna hasara nyingi kuwa na wivu kwa mwenza wako kuliko faida zilizopo kama utapunguza...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLSHOGA; MAMA YAKO ASIKUINGILIE KWENYE NDOA YAKO
10 years ago
Vijimambo10 May
DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...
11 years ago
GPLNI RAHISI SANA KUIMARISHA NDOA YAKO!
9 years ago
BBCSwahili23 Aug
Je unataka ndoa yako iwe na mvuto?
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Marafiki wasishike ndoa yako, utajuta!
HABARI zenu wapenzi wasomaji wa kona hii, kama mnaendelea vema nashukuru kwa hilo, leo kungwi nimekuja kuwaasa akina mama wenye ndoa ambao mnajisahau kwa kudanganywa na marafiki.
Kumbuka marafiki wengine huwa hawapendi mema ya rafiki zao, shtuka mapema bibi ukiona mwenendo siyo achana na marafiki wabaya.Ndoa ni daraja, kama zima unatakiwa kulivuka, kama bovu pia unatakiwa kulivuka, kama ni bovu lifanyie ukarabati kwa sababu unatakiwa kuvuka.
Kwenye ndoa kuna misukosuko mingi ndiyo maana...
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Ifanye ndoa yako kuwa ya thamani
HABARI msomaji wa safu ya Urafiki na Mahusiano inayokujia kila Jumamosi. Matumaini yangu umzima. Nami nakukaribisha ili tuweze kwenda sambamba katika suala la maisha ya ndoa. Kila ndoa ina muda...
10 years ago
GPLWEWE NDIYE MWENYE MPINI WA NDOA YAKO
9 years ago
GPLDUDE; USIINGIZE SANAA KWENYE NDOA YAKO
9 years ago
GPLFLORA IMARISHA NDOA YAKO?, ?INJILI ITANOGA KWELI?!?