IGP SIRRO AZUNGUMZA NA WANANCHI DODOMA
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziIGP SIRRO TUMEJIPANGA KUKABILIANA NA UHALIFU
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amesema Jeshi la Polisi limejipanga vizuri katika kuhakikisha linakabiliana vyema na matukio ya uhalifu yanayojitokeza nchini na kwamba Jeshi lipo imara hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
IGP Sirro amesema hayo wakati akikamilisha ziara yake ya ukaguzi katika Kanda Maalum ya Polisi...
IGP Sirro amesema hayo wakati akikamilisha ziara yake ya ukaguzi katika Kanda Maalum ya Polisi...
5 years ago
MichuziIGP SIRRO AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Sirro (kushoto) akizungumza na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) DR. Stergomena Tax, aliyemtembelea ofisini kwake Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam leo na kujadiliana masuala mbalimbali ya kiutendaji.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Sirro (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) DR. Stergomena Tax, aliyemtembelea ofisini kwake Makao Makuu...
5 years ago
MichuziIGP SIRRO AFANYA MKUTANO KWA NJIA YA VIDEO
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wasaidizi wake leo 17/06/2020 jijini Dar es salaam, wakishiriki kwa njia ya mtandao (Video Conference ) mkutano wa Jumuiya ya Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi wa Nchi za Ukanda wa Kusini Mwa Afrika (SARPCCO) unaojumuisha nchi 15 ikiwemo Tanzania katika mkutano wake wa kawaida wa...
5 years ago
MichuziIGP SIRRO AONYA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI KUTOJIHUSISHA NA SIASA
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Simon Sirro akisoma jiwe la msingi aliloweka ikiwa ni ujenzi wa makazi ya Askari wa jeshi hilo kwenye eneo la FFU kata ya Muriet jijini Arusha pembeni yake ni mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na mbele yao ni Balozi wa heshima wa Serikali ya Dubai Fouad Martis wakifuatilia tukio hilo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Sirro kulia akiwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo katikati na pembeni mwenye suti ya Bluu ni Balozi wa...
5 years ago
Michuzi31 Mar
IGP SIRRO AWAONYA WATALII KUTOJIHUSISHA NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA
NUNGWI, ZANZIBAR
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amesema kuwa Jeshi la Polisi kamwe halitamvumilia mtu yeyote atakayejihusisha na vitendo vya uhalifu ikiwemo kujihusisha na uuzaji na usambazaji wa dawa za kulevya pamoja na uhalifu mwingine.
IGP Sirro amesema hayo leo wakati akifungua kituo cha utalii Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja kisiwani Zanzibar, huku akiwataka watendaji wa Jeshi la Polisi nchini kuendelea kutekeleza wajibu wao kwa weledi na kwa kufuata misingi ya...
5 years ago
CCM BlogIGP SIRRO: WALE AMBAO WAMEFUNGIWA... WASITAFUTE UGOMVI NA WATANZNIA
“Mkubwa wako wa nchi akishasema umekuwa ‘lockdown’ kwenye nchi yako…ustaarabu…ukae kwako…! mambo yakiwa mazuri si tutatembeleana..!
...wale ambao wamefungiwa wasitafute ugomvi na Watanzania…,”
...wale ambao wamefungiwa wasitafute ugomvi na Watanzania…,”
5 years ago
MichuziIGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI MKOA WA KIPOLISI ILALA
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akizungumza na Maofisa wa Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika mkoa wa Kipolisi Ilala kwa lengo la kuona utayari wao na namna wanavyotekeleza majukumu yao ya kazi za Kipolisi. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika mkoa wa Kipolisi Ilala kwa lengo la kuona...
5 years ago
MichuziIGP SIRRO AWASILI MKOANI MANYARA KWA ZIARA YA KIKAZI
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha Polisi kilichopo wilaya ya Chemba mkoani Dodoma, leo 02/03/2020 wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Manyara kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati), akizungumza na Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, Paul Kasabago, wakati akipokelewa na mwenyeji wake kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani humo leo 02/03/2020.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania