Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu: Kujadili hotuba ya JK kupoteza muda

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salva Rweyemamu amesema kuendelea kuijadili hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa kwenye Bunge la Katiba mwishoni mwa wiki ni kupoteza muda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kanuni za kuongoza #Bunge la #Katiba zawasilishwa, porojo za kupoteza muda sasa marufuku [VIDEO]

BUNGE maalum la Katiba limekutana leo mjini Dodoma kwa ajili ya kujadili kanuni mbalimbali zitakazotumika kuliendesha Bunge hilo katika vikao vyake.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuache kujadili hotuba za JK, Warioba tuboreshe Rasimu

>Wiki ya Machi 18 - 22, 2014, mwenyekiti Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba aliwasilisha Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Bunge la Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge sasa kujadili hotuba za Rais, Warioba

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimwapisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (kulia) kuwa Mjumbe wa Bunge hilo, bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).HOTUBA iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete pamoja na ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba zitajadiliwa bungeni baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuridhia ombi hilo lililotolewa na baadhi ya wajumbe.

 

11 years ago

GPL

TUNA MUDA WA KUTOSHA KUJADILI MAISHA?

NI  matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya njema na mnaendelea vizuri na mihangaiko ya kila siku ya maisha. Ni wakati mwingine tena tunakutana kujadili mambo yetu ya mapenzi na maisha. Leo nina jambo moja la msingi ambalo ningependa kujadili kwa pamoja, wakati huu tunapokaribia kumaliza mwaka na kuukaribisha mwingine. Najua wazazi wengi hiki ni kipindi cha maumivu kwa vile tutalazimika kutumia fedha kwa ajili ya kuandaa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge linapoteza muda kujadili ‘ndiyo’

“UKISEMA, ‘Ndiyo’, basi, iwe ‘Ndiyo’; ukisema, ‘Siyo’, basi iwe kweli ‘Siyo’. Chochote kinachozidi hayo  hutoka kwa yule Mwovu.” (Mathayo 5:37). Haya ni maneno ya Yesu Kristu wa Nazareti wakati akiwafundisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini tupoteze muda, fedha kujadili “Ndiyo”

“UKISEMA  ‘Ndiyo’, basi iwe ‘Ndiyo’; ukisema, ‘Siyo’, basi iwe kweli ‘Siyo’. Chochote kinachozidi hayo hutoka kwa yule Mwovu.” (Matayo 5:37). Haya ni maneno ya Yesu Kristu wa Nazareti wakati akiwafundisha...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF, klabu wapeana muda kujadili makato

 Suala la makato ya asilimia tano kwa klabu za Ligi Kuu limechukua sura mpya baada ya kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na klabu kuomba muda zaidi kulitafakari.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge laongezwa muda kujadili VAT, ardhi

>Bunge limeongeza muda wa vikao kwa siku tatu zaidi ili kutoa nafasi kwa wabunge kujadili Muswada wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), ambao unalenga kuondoa misamaha ya kodi.

 

11 years ago

CloudsFM

KIKWETE: SINA MUDA KUJADILI UPUUZI KUHUSU RIDHIWANI

Rais Jakaya Kikwete amepuuza madai kwamba, alishiriki kumwokoa mwanawe, ambaye ni Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, aliyetuhumiwa kukamatwa na dawa za kulevya nje ya nchi.
Amesema kuwa urais ni taasisi kubwa nchini, hivyo yeye akiwa rais hawezi kujiingiza katika ubishani na watu wa mtaani, kama ambavyo baadhi ya watu wanaomsukuma ashiriki katika maneno hayo aliyoyaita kuwa ni ya “mitaani.”

“This is nonsense ni mkusanyiko wa upuuzi. Sina muda wala siwezi kupoteza nguvu yangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani