Bunge linapoteza muda kujadili ‘ndiyo’
“UKISEMA, ‘Ndiyo’, basi, iwe ‘Ndiyo’; ukisema, ‘Siyo’, basi iwe kweli ‘Siyo’. Chochote kinachozidi hayo hutoka kwa yule Mwovu.” (Mathayo 5:37). Haya ni maneno ya Yesu Kristu wa Nazareti wakati akiwafundisha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Kwanini tupoteze muda, fedha kujadili “Ndiyo”
“UKISEMA ‘Ndiyo’, basi iwe ‘Ndiyo’; ukisema, ‘Siyo’, basi iwe kweli ‘Siyo’. Chochote kinachozidi hayo hutoka kwa yule Mwovu.” (Matayo 5:37). Haya ni maneno ya Yesu Kristu wa Nazareti wakati akiwafundisha...
11 years ago
Mwananchi02 Jun
Bunge laongezwa muda kujadili VAT, ardhi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BpcxhYIbWSZ0OyJzYTxdyZQB7Ki6yfFlLMXiwN0wlAnCS6nU9o7jMqrO10hHBx*rCM-gmqBIi6nDMgFIpxU5GaFrc6Vag8Q8/uwazi.gif?width=640)
TUNA MUDA WA KUTOSHA KUJADILI MAISHA?
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Ikulu: Kujadili hotuba ya JK kupoteza muda
10 years ago
Mwananchi19 Oct
TFF, klabu wapeana muda kujadili makato
11 years ago
CloudsFM05 Aug
KIKWETE: SINA MUDA KUJADILI UPUUZI KUHUSU RIDHIWANI
Rais Jakaya Kikwete amepuuza madai kwamba, alishiriki kumwokoa mwanawe, ambaye ni Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, aliyetuhumiwa kukamatwa na dawa za kulevya nje ya nchi.
Amesema kuwa urais ni taasisi kubwa nchini, hivyo yeye akiwa rais hawezi kujiingiza katika ubishani na watu wa mtaani, kama ambavyo baadhi ya watu wanaomsukuma ashiriki katika maneno hayo aliyoyaita kuwa ni ya “mitaani.”
“This is nonsense ni mkusanyiko wa upuuzi. Sina muda wala siwezi kupoteza nguvu yangu...
10 years ago
Habarileo05 Feb
Bunge, serikali kujadili BVR
BUNGE limeingilia kati mchakato wa uandikishaji wapigakura kwa mfumo wa kielektroniki (BVR) chini ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwa kuamua kujadili kile kilichoelezwa kwamba tume imekiuka makubaliano kwa kuanza mchakato bila kushirikisha vyama vya siasa.
11 years ago
BBCSwahili23 Feb
Bunge la Ukraine kujadili Serikali mpya
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-tU1YsYO4i0M/Xs_qXM6X8qI/AAAAAAAC6Pw/Pr2bo3Tv-UIpXOGLPkFq6ABfwaC7NmfZgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
BUNGE LAENDELEA KUJADILI TAARIFA YA LAAC
![](https://1.bp.blogspot.com/-tU1YsYO4i0M/Xs_qXM6X8qI/AAAAAAAC6Pw/Pr2bo3Tv-UIpXOGLPkFq6ABfwaC7NmfZgCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Wakitoa michango ya maoni mbalimbali leo Mei,28,2020 juu ya Ripoti ya CAG iliyowasilishwa bungeni jijini Dodoma na kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za...