Ikulu ya Tanzania yahusishwa na Escrow
Prosper Mbena aliandika barua ili kushinikiza hatua ya kutolewa kwa billioni 306 fedha za Escrow kutoka banki kuu ya Tanzania.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCsdGhblZmk8NKXaxGsfWaBtrAnKjh*SnEg0oL6tid*Daqel8JjdXSs7qYzFBWpPTI0ERjdZz7RpKuqWcMnn-LD9/Kikweteplain.jpg?width=650)
ESCROW ISIIACHE IKULU YA JK
10 years ago
Vijimambo05 Mar
Escrow: Gurumo wa Ikulu jeuri.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Shabani-05March2015.jpg)
Mnikulu, Shaban Gurumo, amekiri kupokea mgawo wa zaidi ya Sh. milioni 80.8 kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya VIP Engineering and Marketing, James Rugemalira, unaodaiwa kuwa ni sehemu ya zaidi ya Sh. bilioni 200 zilizochotwa kifisadi katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), lakini akasema hata kama asingepata, angeweza kutatua shida zake kwa...
10 years ago
Mtanzania11 May
Ikulu: Ripoti ya Tokomeza, Escrow hazitatolewa
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amesema ripoti za uchunguzi ya Operesheni Tokomeza na suala la Akaunti ya Tegeta Escrow hazitatolewa hadharani.
“Hakuna mpango wa kuweka ripoti hadharani kwa sababu kuna mambo ya kesi zinazoendelea mahakamani, sasa ukianza kutoa hadharani unaharibu hizo kesi mahakamani,” alisema Balozi Sefue.
Ametoa kauli hiyo siku chache baada ya kutolewa ripoti ya uchunguzi dhidi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliachim...
10 years ago
Habarileo05 Dec
Ikulu yakanusha Katibu wa Rais kuingilia Escrow
VYOMBO vya habari nchini vimeaswa kuripoti matukio yaliyofanyiwa uchunguzi wa kina na yenye kufuata maadili na taaluma ya habari, badala ya kufanya kazi kwa kuongozwa na ushabiki vinapotekeleza majukumu yake.
10 years ago
Mwananchi27 Dec
ESCROW: Ikulu yazidi kumweka kiporo Muhongo
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Kigogo Ikulu aburuzwa Madili kwa Escrow
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KIGOGO wa Ikulu (Mnikulu), Shabani Gurumo, amelishangaza Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa kusema hakufahamu sababu za kuwekewa kiasi cha Sh 80,850,000 kwenye akaunti yake.
Mnikulu huyo alipinga madai ya yeye kupewa fedha na Kampuni ya VIP Engineering ila alipewa na James Rugemalira kutokana na urafiki wao walionao kwa muda wa miaka 10 na hazihusiani na mgawo.
Alisema wakiwa katika mazungumzo na rafiki yake Rugemalira, alipewa maelezo...
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Ikulu: JK hatawaadhibu vigogo wa escrow bila ya uchunguzi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PL4B51ylcyH2l1OGlnZAEZPGWM2mYUudA6j52D4aeZAmst8dV0JuOKDsID6lsZcNTSTP7lJtA1U*n2bOI9Ffa5Q/IMG_0036.jpg)
SAKATA LA ESCROW: OFISA WA IKULU AHOJIWA NA TUME YA MAADILI
10 years ago
Vijimambo04 Mar
Ngeleja ajimaliza Escrow, Adai hajapokea mgawo peke yake, Naye kigogo Ikulu kula kibano leo.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ngeleja-04March2015.jpg)
Ngeleja (47), ambaye amewahi pia...