Ikulu: Ripoti ya Tokomeza, Escrow hazitatolewa
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amesema ripoti za uchunguzi ya Operesheni Tokomeza na suala la Akaunti ya Tegeta Escrow hazitatolewa hadharani.
“Hakuna mpango wa kuweka ripoti hadharani kwa sababu kuna mambo ya kesi zinazoendelea mahakamani, sasa ukianza kutoa hadharani unaharibu hizo kesi mahakamani,” alisema Balozi Sefue.
Ametoa kauli hiyo siku chache baada ya kutolewa ripoti ya uchunguzi dhidi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliachim...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Apr
JK apokea Ripoti ya Operesheni Tokomeza
RAIS Jakaya Kikwete jana alipokea Ripoti ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza katika hafla fupi ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo25 Jan
Kagasheki akosoa ripoti Kamati ya Tokomeza
ALIYEKUWA Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, amekosoa ripoti ya Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira akidai ilikuwa ya upande mmoja kwani haikuonesha mauaji ya askari waliohusika katika Operesheni Tokomeza Ujangili. Aidha, ameshangaa walioshangilia kujiuzulu kwake na baadaye uwaziri wake kutenguliwa na Rais Jakaya Kikwete, akisema kujiuzulu ni jambo la kawaida na kwamba angejisikia vibaya kama angeondolewa wizarani kwa sababu za ufisadi au wizi wa mali za umma.
10 years ago
Mwananchi11 Apr
Rais akabidhiwa ripoti ya Operesheni Tokomeza Ujangili
10 years ago
MichuziRais Kikwete apokea Ripoti ya Operesheni Tokomeza
10 years ago
Mtanzania14 May
Serukamba atonesha vidonda Escrow, Tokomeza
Khamis Mkotya na Arodia Peter, Dodoma
MBUNGE wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba (CCM), ametonesha vidonda vya ufisadi baada ya kuzungumzia ripoti ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue iliyowasafisha baadhi ya watendaji serikalini waliohusika katika kashfa ya Escrow.
Serukamba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, alishangazwa na taarifa hiyo kuwasafisha baadhi ya watu waliohusishwa katika kashfa hiyo na kuwaacha wengine, jambo ambalo alisema ni ubaguzi.
Kauli hiyo aliitoa...
10 years ago
Daily News14 May
MPs fault cleansing of Escrow, Tokomeza campaign culprits
MPs fault cleansing of Escrow, Tokomeza campaign culprits
Daily News
TEGETA Escrow Account and Operation 'Tokomeza Ujangili' scandals which compelled six ministers, the Attorney General and one Permanent Secretary to face the exit doors have resurfaced in the House, with lawmakers calling upon the government to ...
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Ripoti ya escrow yawasha moto
10 years ago
Habarileo18 Nov
Zitto akabidhiwa ripoti ya Escrow
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu sakata la akaunti ya Tegeta Escrow, imeanza kufanyiwa kazi na Bunge na ndani ya siku nane zijazo, umma utajua ukweli wake. Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai alikabidhi ripoti hiyo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto, jana bungeni, na kamati imeanza kazi mara moja. Kwa mujibu wa Ndugai, taarifa hiyo ya CAG ina maoni kwa kila hadidu za rejea kama chombo hicho kilipoagiza wakati...
10 years ago
GPLRIPOTI YA ESCROW YAWASILISHWA BUNGENI