Ikulu yatengewa Sh bilioni 20
Na Khamis Mkotya, Dodoma
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, amewasilisha makadirio ya bajeti ya Sh bilioni 585 kwa ajili ya ofisi yake kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016. Kati ya fedha hizo, Sh bilioni 20 zimetengwa kwa ajili ya Ofisi ya Rais (Ikulu), ikiwa ni matumizi ya kawaida kwa ajili ya ofisi hiyo na taasisi zake.
Akiwasilisha makadirio hayo bungeni jana, Kombani alisema katika mwaka wa fedha wa 2015/2016 Ikulu imepanga kutekeleza kazi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Iramba yatengewa bil. 1.6/- za maji
WIZARA ya Maji imetenga sh bilioni 1.6 kwa ajili ya kuboresha huduma ya maji safi na salama katika Wilaya ya Iramba, mkoani Singida katika kipindi cha kuanzia mwaka wa fedha...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Dengue yatengewa mil. 672/-
JUMLA ya sh milioni 132 zimetumika na sh milioni 540 zimetengwa kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa dengue ulioibuka hivi karibuni jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo...
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Barabara Mpanda-Misamo yatengewa bil. 4.5/-
SHILINGI bilioni 4.5 zimetengwa kwa ajili ya kuanza ujenzi wa barabara ya Mpanda hadi Mishamo kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilomita 100. Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge,...
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Miradi ya maji Kwimba yatengewa bil. 2/-
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kwimba imetenga sh bilioni 2.5 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji kwa mwaka wa fedha 2014/15. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za...
5 years ago
MichuziWaziri Biteko: Sekta ya Madini inaongoza kwa ukuaji wa uchumi nchini,makusanyo yamepaa kutoka Bilioni 39/- hadi Bilioni 58/- kwa mwezi
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-YB13EO7o7ug/VYGQSC-81nI/AAAAAAAAv2w/ozIl4BQTOI4/s72-c/LOWASSA%2BIKULU.jpg)
Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'
![](http://2.bp.blogspot.com/-YB13EO7o7ug/VYGQSC-81nI/AAAAAAAAv2w/ozIl4BQTOI4/s640/LOWASSA%2BIKULU.jpg)
Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...